Mzeee Acharya kuongopea watu wewe, mimi nimeishi Dubai..ukweli ma agent wengi ni matapeli tatizo sio Dubai au watu wa Dubai, tatizo ni agents nyingi zinaongopea watu na Dubai utaratibu wao ni lazima uje kupitia agency huwezi kupewa visa labda iwe tourist au visit lakini agents wengi wanaongopea watu kwa ahadi za kazi nzuri lakini mambo ni tofauti kule ..hakuna kazi na wahindi, wapakistan wengi matapeli waongo ..kampuni zao nyingi ni za kinyonyaji sana ..lakini bado kuna nafuu zaidi ukiwa mpambanaji huwezi kukosa hata 150k kwa siku ..mfano kibarua wa ujenzi analipwa hadi 50k per day, je bongo analipwa shi ngap? Hakuna sehemu maisha matamu kama Dubai mzee, ukija kichwa kichwa utapigwa hadi ujikute huna hata bukta, raia wa kule Dubai yani wale wazawa kanisa Emirati citizen wanaroho nzuri sana na wakikupa kazi watahakikisha unapata pesa nzuri ya maana , kuna hawa waarabu wa Sudan, Misri, na baadhi kama Syria na waarabu wa mataifa mengine aise Hao ni zaidi ya shetani, wangekuwa ndio wenye nchi basi wangetesa sana watu, daah Archana kabisa na Egyptian wale daah ni mashetani watupu, kwa ufupi UAE wazawa halisi ni watu na nusu ila wahamiaji waarabu wenginr aise ni zaidi ya mashetani, watu wanaoteseka zaidi Dubai, ni wahindi, wabengali, waarabu wa kutoka nchi za Africa, na mataifa yenye migogoro kama Afghanistan, Yemen, syria, na palestine, na ndio hao wenye roho ata shetani anaogopa na baadhi ya watu wa mataifa ya Africa kama Ethiopia, Kenya, Burundi, Uganda na mataifa machacje ya west Africa, Nigerians wameharibu kabisa taswira za watu website kutokana na kufanya biz illegally, kama kuuza pombe, bangi, ivyo polisi wakikuona tu black basi wanahisi ni mnigeria, I ivyo inaleta usumbufu sana. Mishahara mingi ya Dubai ni midogo kwa kisingizio cha kukupa Ile emirates ID kama kile kitambulisho cha NIDA, bei ya hii ID ni AED 7k hadi 8500 ambapo ni Sawa na za madafu kama M4 hadi 6M, (wakati NIDA ID ni 20k tuu) so kampuni nyingi zikikupa hiyo ID inabidi wakate kwenye mshahara. Endapo utafanakiwa kupata kazi yakupasa uwe na hiyo ID. Kama hauna uandikiwe kwenye kampuni ambapo wao watakupa hiyo 1D lakini salary itakatwa kwenye salary yako