Usichokijua kuhusu Katiba ya Kenya

Usichokijua kuhusu Katiba ya Kenya

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Watanzania wengi walifurahishwa sana na hiyo iliyoitwa Katiba mpya ya Kenya na pengine si ajabu hata ndiyo moja ya sababu ya sisi pia kuanza mchakato wa kuandika hii iliyoitwa Katiba Mpya.

Lakini kuna kitu ambacho nafikiri Watanzania wengi hawakijui kuhusu Katiba Mpya ya Kenya, ambapo kwa maoni yangu nafikiri ni usanii mtupu kwa mfano Cheo cha Mkuu wa Wilaya hakijafutwa kama ilivyo hapa kwetu na bado anateuliwa na Raisi wa Nchi.

Yaani kwa maana nyingine hawa Magavana wao wa County hawana madaraka yoyote kwa maana kuna Mkuu wa Wilaya ambaye ndiye muwakilishi wa Raisi kwenye hiyo county na ndie ana mamlaka na Dola hapo kwenye county na siyo Gavana wa county, sasa ndiyo wamefanya nini?


Si ni kama Bongo tu?
 
Buku 7 hatari sana ngoja kwanza tumalize kuindoa ccm madarakani 2015 ndiyo uje na hizi nyimbo sasa hivi utakuwa unapigia mbuzi mziki
 
Malizia kuandika ili nasi tuanze kuchangia! Au ndio umemaliza, tupite kasi.
 
limetumbuka

Huna lolote wewe! Kama nyie ndo wasomi wa nchi hii.

Kwenye katiba ya Kenya chief executive officer (kama rais) wa county ni gavana, na anachaguliwa na wananchi.

Katiba ya Kenya is one of the best in Africa and beyond, sio kama huu yakwetu ulioandikwa na BMK.
 
Mleta hoja kuna kitu umekisahau. Hiyo katiba ya kenya ni more progressive. Rais akishateua LAZIMA hao watu ealioteuliwa wapite kwenye jopo na kufanyiwa interview LIVE KWENYE TV kuhusu private, public and professional life.

Same kama wanavyofanya USA Obama akishateua jina lazima lipite kwenye vetting za senate na kamati mbali mbali.
 
Huyo unayesema mkuu wa wilaya Kwaiyo mujibu wa katiba ya Kenya yupo au ametajwa na kifungu gani?! Cha katiba ya Kenya. Nakuomba unukuu ili tuanze kujadili na kama hujui achana na mambo ambayo huyajui!!! Unaweza hata kujadili katiba ya chama chako kuliko kutoka kutudanganya.
 
Watz wengi walifurahishwa sana na hiyo iliyoitwa Katiba mpya ya Kenya, na pengine si ajabu hata ndiyo moja ya sababu ya sisi pia kuanza mchakato wa kuandika hii iliyoitwa Katiba Mpya!

Lakini kuna kitu ambacho nafikiri Watz wengi hawakijui kuhusu Katiba Mpya ya Kenya, ambapo kwa maoni yangu nafikiri ni usanii mtupu, kwa mfano Cheo cha Mkuu wa Wilaya hakijafutwa kama ilivyo hapa kwetu na bado anateuliwa na Raisi wa Nchi.

Yaani kwa maana nyingine hawa Magavana wao wa County hawana madaraka yoyote kwa maana kuna Mkuu wa Wilaya ambaye ndiye muwakilishi wa raisi kwenye hiyo county, na ndie ana mamlaka na Dola hapo kwenye county na siyo Gavana wa county, sasa ndiyo wamefanya nini?
Si ni kama Bongo tu?

[h=2]Devolved Government[/h]​
The devolved government, proposed during the making of the new constitution, is primarily geared towards achieving two main objectives.

  • Involve the people in governance
  • Allow better supervision and implementation of policies at the grassroot level
The county Government, which has since replaced the provincial administration, constitutes of a county assembly and county executive. The responsibilities of the county assembly include:

  • Exercising the powers of enacting laws at the county level
  • Acting as an oversight instrument on the county executive
  • Approval of plans and policies for smooth operation and management of resources and county institutions
Even at county level, democratic principles are observed. The people elect the members of the county assembly at Ward level. All the same, additional slots are reserved for nominations. This ensures that membership is well distributed by gender, marginalized groups and persons with disability.
The county assembly is headed by a county Speaker who by law is not supposed to be a member of the assembly.
The county executive on the other hand is charged with the responsibility of exercising executive power at the county level, implementing laws for administration of the county as well as carrying out other executive functions of the county. The county executive gives the people an opportunity to be more actively involved in lawmaking. The county executive is led by a governor who is directly elected by the people at the county level. The appointment of the county executive members is placed under the mandate of the governor, and approval is subject to the county assembly.
Point of note: The executive members are answerable to the governor and shall not be members of the county assembly.
Currently the Kenya devolved government consists of 47 counties representing the initially recognized districts and each one of them forms a county government. Every county government shall further decentralize its services and coordinate its functions in order to efficiently serve the interests of the people of Kenya at the local level.
[h=4]Authority
[/h]
The Provincial Administration will derive its authority from the mere fact that its very nature is 'a system of administration' and nothing else. Consider the Sixth Schedule - Transitional and Consequential Provisions, Part 4 - Devolved Government, Article 17:

17. Within five years after the effective date, the national government shall restructure the system of administration commonly known as the provincial administration to accord with and respect the system of devolved government established under this Constitution.
So it will essentially exist (in whatever name) as an extension of the National Executive.


 
limetumbuka
home_r1_c1.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ndio kwanza hata sijaelewa, hivi katiba nimasuala ya uongozi tu? mbona mnaipa siasa saana kwenye katiba wewe umekwenda kuangalia mambo ya utawala tu kwenye katiba eti.
 
waltham

Twende polepole hapa tunaelimishana, Kenya kwa kwa sasa kuna Mkuu wa Wilaya ama hamna?
 
Last edited by a moderator:
limetumbuka
Clearly you have no clue of Kenya's constitution.There's no clause that has provided such happenings,the government just did that for better coordination and security.But the governors are the head of the executive of the counties, meaning have all the powers given by the people.

FYI the courts ruled the government's move to appoint the county commissioners as Unconstitutional but nothing happened. My point is the governors are the head with most powers, answerable only to the populace, as provided in the constitution, as in via the County Assemblies, The, Parliament and the Senate.

Though the answerable part has had issues you know we are still adapting to the new stuff, and slowly getting better in its comprehension.

I wish Tanzania best of luck, and get the best constitution that will help you, you should adopt things that are unique to you and will adress your problems.
 
Last edited by a moderator:
Kambalanick

The ruling was later overturned if am not wrong.
 
Last edited by a moderator:
limetumbuka
Twende pole pole hapa tunaelimishana, Kenya kwa kwasasa kuna Mkuu wa Wilaya ama hamna?

Nita assume kusoma na kuandika upo.

The Provincial Administration will derive its authority from the mere fact that its very nature is 'a system of administration' and nothing else. Consider the Sixth Schedule - Transitional and Consequential Provisions, Part 4 - Devolved Government, Article 17:

17. Within five years after the effective date, the national government shall restructure the system of administration commonly known as the provincial administration to accord with and respect the system of devolved government established under this Constitution.
So it will essentially exist (in whatever name) as an extension of the National Executive.
 
Last edited by a moderator:
waltham

Kwa hiyo unakubaliana na mimi ya kwamba Kenya bado kuna Wakuu wa Wilaya (District Comissioner) ambao wanateuliwa moja kwa moja na Raisi wa Kenya, hapo ni sawa?
 
Last edited by a moderator:
Kambalanick

Nina swali dogo sana kwako na wala sihitaji maelezo mengi, Kenya kuna Mkuu wa Wilaya (District Comissioner) ama hayupo? Na kama yupo anapatikanaje? Je anachaguliwa na Wananchi ama anateuliwa moja kwa moja na Rais?
 
Last edited by a moderator:
FRANK UNDERWOOD

Haujelewa Hoja yangu ni kwamba, Kenya bado kuna cheo cha Mkuu wa Wilaya kama ilivyokuwa hapo zamani na kama ilivyo hapao Bongo ambaye huteuliwa moja kwa moja na Raisi wa Kenya na haojiwi na Mtu yoyote popote pale, anateuliwa na kukabidhiwa ofisi yake Wilayani kwake, ndicho nilichokuwa naongelea.
 
Last edited by a moderator:
mwimbule

Kwenye Katiba ya Kenya kuna magava wa County na Macomissioner wa County, Magavana wanachaguliwa na Wananchi na Macomissioner wanateuliwa na raisi wa moja kwa moja kwa maana nyingine hawa ni wawakilishi wa Raisi kwenye hizo county.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kifungu ndani ya katiba ya Kenya kinachozungumzia county commissioner. Hebu kitaje, labda kama hujui maana ya katiba.
 
Back
Top Bottom