Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,033
- 8,805
Elimu gani unazungumzia, hii hii ya kuchambua SENTENSI KWA NJIA YA MATAWI???Elimu elimu elimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu gani unazungumzia, hii hii ya kuchambua SENTENSI KWA NJIA YA MATAWI???Elimu elimu elimu
Elimu elimu elimuElimu gani unazungumzia, hii hii ya kuchambua SENTENSI KWA NJIA YA MATAWI???
Unayoyazungumza unayafahamu kwa kiwango kidogo kijana
labda wewe ndio hunielewi, kwa hiyo sio mimi nimechanganyikiwa bali wewe ndio umechanganyikiwa kwa sababu nilichoona katika mafunuo ni ngumu kuelewa kama wewe sio mtu wa kiroho.
Sawa 👍🏾labda wewe ndio hunielewi, kwa hiyo sio mimi nimechanganyikiwa bali wewe ndio umechanganyikiwa kwa sababu nilichoona katika mafunuo ni ngumu kuelewa kama wewe sio mtu wa kiroho.