Usichokijua kuhusu wimbo wa kwanza wa Diamond "Nenda Kamwambie"

Usichokijua kuhusu wimbo wa kwanza wa Diamond "Nenda Kamwambie"

Same here.... hua haikosi kwenye play list yangu.
ule wimbo utaishi muda mrefu sababu alituliza kichwa chake hakuweka madoido mengi.
Diamond akiimba wimbo wa taratibu anatoa kitu kizuri. SIKOMI pia upo vizuri mno, kaupangilia vizuri.
 
Ubishi wa kise.nge huu hata kufananisha sura hujui? let me leave wit yo envy mind...
sura hawajafanana...kinachokuchanganya wewe ni huo ushombeshombe tu..hivi miaka yoooote hiyo diamond akae kimya tu bila kutuambia kuwa yule video qn alikuwa ni dada yake esma? be serious at least once my bro, may be you dont know diamond well.!
 
Huyu mwanamke sio Esma.... ni Binti flani hivi jina simjui ila ni shombe zaid ya Esma, Halafu ni msela kiaina...ukizunguka huko kwenye Instagram anapatika japo siikumbuki handle yake. Kama unabisha Kunya Tikiti!
 
Huyu ndo Esma.
IMG_20180531_195125_717.jpg
 
si kweli, hapa umetuingiza chaka yule dada sio esma...nakumbuka mondi alishawahi kutoa hiyo stori na akasema anatamani yule video qn aje aonane nae siku moja maana yeye (v..vixen) hakujali uchanga wake na alikubali kucheza kwny video yke....sidhani km angekuwa ni esma angesema hivyo maana mondi alisema yyte anayejua sehemu ambapo huyo dada yupo basi amwambie...maneno hayo diamond aliandika kweny instagram si zaidi ya miaka 2 iliyopita.

Half angekuwa esma yule c tungekoma, daily angekuwa anajipost huko insta na caption za kujisifu....hlf kipind kamwbie inatoka kaesma kalikuwa kadogo dogo hivi hlf kembamba sn kuliko huyo dada wa kwemy video ambaye anaonekana kajazia kiaina.
Screenshot_20190328-170128.png
 
Huyu mwanamke sio Esma.... ni Binti flani hivi jina simjui ila ni shombe zaid ya Esma, Halafu ni msela kiaina...ukizunguka huko kwenye Instagram anapatika japo siikumbuki handle yake. Kama unabisha Kunya Tikiti!
Screenshot_20190328-170128.png
 
Fahamu kwamba video queen wa wimbo wa kwanza wa Diamond platnumz alikuwa dada yake Esma Platnumz,kwa nini Esma? ni kwamba wadada ambao aliwaalika Diamond kufanya hiyo scene hawakutokea kutokana na dharau kwa kuwa jamaa hakuwa staa na lile jisura lake lilivyokuaga baya kipindi kile wakaona dooh....ndipo Dada mtu akaombwa kucheza hiyo part na akaimudu sana (halafu Esma alikuaga mzuri kishenzi)...naamini hao wadada waliomtosa D leo hii wanatamani hata kushikana nae mkono tu,Maisha safari ndefu sana tusidharauliane.
Najua ulikuwa hujui ila mimi nakujuza kidogo tu..
Angalia hii kuanzia dakika ya 3:10

Duuu nilikua sifahamu hayo mkuu.
 
Niliiona Nenda Kamwambie pale Buguruni Chama, kulikuwa kuna tukio flani la kijamii. Tangu siku hiyo niliamini kuwa Diamond was more than Diamond, and he never failed my expectations.
 
Back
Top Bottom