Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,562
- 3,715
Nina hahika asilimia 78%, hawajui hiki kitu, wakati ukiendelea kufurahia matumizi yaliyozoeleka ya powder chukua na hii usiiyache kuitumia.
Nilitembelewa na rafiki yangu alinicheka na kuniuliza "kwanini mwanaume nina powder chumbani kwangu kama mwanamke au kama nina mtoto",wanaume wengi hatutumii powder huo ni ukweli.
Johnson's baby powder ni nzuri kuwa nayo chumbani inamatumizi zaidi ya unayoifahamu, ni mzuri na ni salama kwa familia ya watoto watundu na wasumbufu wanaochezea kila wanachokiona.
Mimi ninaitumia kama sumu huulia wadudu wataambao mfano sisimizi, mende, utitiri nk hainiletei harufu mbaya chumbani na ni salama na kama pambo inaongeza mchanganyiko wa chupa zilizo simama juu dressing table.
Matumizi mwagia unga wa powder walipo wadudu,baada ya dk 5 watakimbia na wengine watakufa hapohapo wakati ukifurahia harufu nzuri wadudu wanaikimbia na ndani mnabaki safi kabisa.
Ni salama 100% kama dawa ya kuulia mende nk sio lazima kukaa na sumu kali za hatari ndani.