Usichokijua kwenye Johnson's baby powder

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,715
Nina hahika asilimia 78%, hawajui hiki kitu, wakati ukiendelea kufurahia matumizi yaliyozoeleka ya powder chukua na hii usiiyache kuitumia.

Nilitembelewa na rafiki yangu alinicheka na kuniuliza "kwanini mwanaume nina powder chumbani kwangu kama mwanamke au kama nina mtoto",wanaume wengi hatutumii powder huo ni ukweli.

Johnson's baby powder ni nzuri kuwa nayo chumbani inamatumizi zaidi ya unayoifahamu, ni mzuri na ni salama kwa familia ya watoto watundu na wasumbufu wanaochezea kila wanachokiona.

Mimi ninaitumia kama sumu huulia wadudu wataambao mfano sisimizi, mende, utitiri nk hainiletei harufu mbaya chumbani na ni salama na kama pambo inaongeza mchanganyiko wa chupa zilizo simama juu dressing table.

Matumizi mwagia unga wa powder walipo wadudu,baada ya dk 5 watakimbia na wengine watakufa hapohapo wakati ukifurahia harufu nzuri wadudu wanaikimbia na ndani mnabaki safi kabisa.

Ni salama 100% kama dawa ya kuulia mende nk sio lazima kukaa na sumu kali za hatari ndani.

JPowder.jpg
Powder.jpg
 
Nakiri kuwa mie Ni mteja wa hii bidhaa kwa zaidi ya miaka 10 Sasa lakini, Kitendo cha kuua wadudu hao Ni wazi hiyo powder ina sumu na haifai kwa matumizi ya mwili wa mwanadamu,, kuna wakati ililalamikiwa huko ulaya kuwa inasababisha kansa,(nikahisi Ni fitna za kibiashara), Sasa na kwa hili mkuu inawezekana ni kweli.
 
Kwamba inaongeza muonekano mzuri wa chupa zilizo simama kwenye dressing table...[emoji87][emoji87]
Samahani mkuu, kwa hili hauja nishawishi bado. Na mimi kwangu dressing table ipo kwaajili ya matumizi ya wife pekee, na sijawahi kupata hata muda wa kujitazama kwenye kioo wala powder...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona pakufikirisha ni hapo pakuua wadudu ....!!??? Kama inaweza kuua mende hiyo ngozi ya mtoto itakuwa salama!??
 
Paka powder weweee
 
Nakiri kuwa mie Ni mteja wa hii bidhaa kwa zaidi ya miaka 10 Sasa lakini, Kitendo cha kuua wadudu hao Ni wazi hiyo powder ina sumu na haifai kwa matumizi ya mwili wa mwanadamu,, kuna wakati ililalamikiwa huko ulaya kuwa inasababisha kansa,(nikahisi Ni fitna za kibiashara), Sasa na kwa hili mkuu inawezekana ni kweli
Kitu chochote kinaweza kutumika kama sumu inategemea tu kimetumikaje na kwa kiasi gani. Hivi una habari konokono asiye na gamba ukimwekea chumvi anayeyuka kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina hahika asilimia 98%, hawajui hiki kitu, wakati ukiendelea kufurahia matumizi yaliyozoeleka ya powder chukua na hii usiiyache kuitumia.
Nilitembelewa na rafiki yangu alinicheka na kuniuliza "kwanini mwanaume nina powder chumbani kwangu kama mwanamke au kama nina mtoto",wanaume wengi hatutumii powder huo ni ukweli.
Johnson's baby powder ni mzuri kuwa nayo chumbani inamatumizi zaidi ya unayoifahamu,ni mzuri na ni salama kwa famailia ya watoto watundu na wasumbufu wanaochezea kila wanachokiona.
Mimi ninaitumia kama sumu huulia wadudu wataambao mfano sisimizi,mende,utitiri nk hainiletei harufu mbaya chumbani na ni salama na kama pambo inaongeza mchanganyiko wa chupa zilizo simama juu dressing table.
Matumizi mwagia unga wa powder walipo wadudu,baada ya dk 5 watakimbia na wengine watakufa hapohapo wakati ukifurahia harufu nzuri wadudu wanaikimbia na ndani mnabaki safi kabisa.
Ni salama asilimia 100% sio lazima kukaa na sumu ndani.View attachment 1473781View attachment 1473782
Nakuelewa nimeitumia sana hii powder. Napenda harufu
 
Kwamba inaongeza muonekano mzuri wa chupa zilizo simama kwenye dressing table...[emoji87][emoji87]
Samahani mkuu, kwa hili hauja nishawishi bado. Na mimi kwangu dressing table ipo kwaajili ya matumizi ya wife pekee, na sijawahi kupata hata muda wa kujitazama kwenye kioo wala powder...[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ipo mi nautumia kama sumu kiuwa wadudu ninapata changamoto iyo kuna sisimizi chumbani kwangu hasa kipindi hiki cha ukame
 
Nakiri kuwa mie Ni mteja wa hii bidhaa kwa zaidi ya miaka 10 Sasa lakini, Kitendo cha kuua wadudu hao Ni wazi hiyo powder ina sumu na haifai kwa matumizi ya mwili wa mwanadamu,, kuna wakati ililalamikiwa huko ulaya kuwa inasababisha kansa,(nikahisi Ni fitna za kibiashara), Sasa na kwa hili mkuu inawezekana ni kweli
kweli ina sumu kazi kwako matumizi ni hayo mawili chagua utaitumia kwa matumizi gani?
 
Naona pakufikirisha ni hapo pakuua wadudu ....!!??? Kama inaweza kuua mende hiyo ngozi ya mtoto itakuwa salama!??
Nimejikuta nasikitika tu mkuu, maana kijana huyu ashawatia hasara wazazi wake...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu ipo mi nautumia kama sumu kiuwa wadudu ninapata changamoto iyo kuna sisimizi chumbani kwangu hasa kipindi hiki cha ukame
Sawa mkuu, na kweli wanaume tume tofautiana sana aiseeeee.....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakiri kuwa mie Ni mteja wa hii bidhaa kwa zaidi ya miaka 10 Sasa lakini, Kitendo cha kuua wadudu hao Ni wazi hiyo powder ina sumu na haifai kwa matumizi ya mwili wa mwanadamu,, kuna wakati ililalamikiwa huko ulaya kuwa inasababisha kansa,(nikahisi Ni fitna za kibiashara), Sasa na kwa hili mkuu inawezekana ni kweli
ni powder zote zinaua Sisimizi
 
Matumizi mengine ya powder ni kupaka kwenye mkuyenge. Binafsi napaka kiasi kwamba, hauchubuki na wala hauchuniki na unabaki na rangi yake ya asili na unanukia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Back
Top Bottom