Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
Kama una mpango wa kugombea nafasi yoyote ya uongozi Arusha, kuwa mkweli na usipange kudanganya maana wananchi wa Arusha wameshachoka siasa za kijinga na uongo wa wana siasa. Kama una nia thabiti ya kuleta maendeleo basi karibu Arusha, omba uongozi utapewa, vinginevyo utadhalilika.