ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Usihangaike kuomba, kuombewa, mafuta ya upako, maji ya upako.
Kanuni ya kupata muujiza kwa Mungu ni kuacha uovu. Kama bado unafanya uovu usitegemee muujiza kutoka kwa Mungu
Maandiko yanasema akusamehe maovu yako yote, akuponya magonjwa yako yote. ( zaburi 103:3)
Mahubiri ya yesu Kristo wakati wote Yalikuwa mahubiri ya dhambi, dhambi, dhambi, dhambi. Mahubiri ya Yalilenga watu waache uovu, watubu.
Ndugu kama unafanya haya, unanimbuwa tu na Mambo ya Mungu.
1) Ushabiki wa Mpira
2) Uzinzi
3) Uasherati
4) Usengenyaji
5) Wizi
6) Uongo
7) Wivu
8) sanamu
nk. huwezi pata muujiza kutoka kwa Mungu
Hizo short cut za mafuta ya upako, maji ya upako Hazitakusaidia. Utaachwa. Yesu yu karibu mno, mno kurudi. Stuka, tubu
Acha kudanganywa na wimbi la manabii wa uongo. Uponyaji unapatikana kwa jina moja tu, YESU. YESU ndo jina kuu kuliko majina yote duniani.
Kutumia maji, mafuta ya upako ni kujiangamiza nafsi yako
Ndugu TUBU