Usidanganyike huwezi pata muujiza kwa Mungu kama unatenda dhambi

Usidanganyike huwezi pata muujiza kwa Mungu kama unatenda dhambi

1. Uzinzi = Me au Ke kula/kuliwa nnje ya ndoa na Me au Ke alieoa/aliyeolewa.
= Me au Ke kula/kuliwa nnje ya ndoa na Kijana/Binti asiyeoa/asiyeolewa.

2. Uasherati = Kijana kula Binti yeyote ila si Mke wa Mtu.
= Binti kuliwa na Kijana yeyote asiye Mume wa Mtu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ahsante.
Umefafanua vizuri hadi nimeelewa, kwangu maneno haya sikujua matumizi yake sahihi.
Amri ya sita ya Mungu(usizini) nililichukulia kama neno la jumla la kuchepuka, iwe kwa single au married.
 
Kama ni hivyo mvua ingekuwa inabagua inyeshee shamba la mwenye haki na kutonyeshea shamba la mdhambi.
Neema ya Mungu ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom