Usidanganyike huwezi pata muujiza kwa Mungu kama unatenda dhambi

Ahsante.
Umefafanua vizuri hadi nimeelewa, kwangu maneno haya sikujua matumizi yake sahihi.
Amri ya sita ya Mungu(usizini) nililichukulia kama neno la jumla la kuchepuka, iwe kwa single au married.
 
Kama ni hivyo mvua ingekuwa inabagua inyeshee shamba la mwenye haki na kutonyeshea shamba la mdhambi.
Neema ya Mungu ni kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…