Usidanganywe tena, tazama replay ya MAGOLI mechi ya Taifa Stars vs Moroco

Usidanganywe tena, tazama replay ya MAGOLI mechi ya Taifa Stars vs Moroco

Mpira ni uwezo! Kwa sasa nadhani Tanzania tunauwezo kuliko Morocco hata wao wanajua ndo mana walianza mizwenge tngu nje ya uwanja. Kiukweli Maamuzi yalikua sahihi lakin naipongeza team yangu kwani ilinionyesha uwezo mkubwa sana sana kiufundi.
Nazitamani zama hizi. Tulikuwa tunaelekea njia sahihi, lakini ghafla Malinzi katukalisha chini tena. Ni lini tena tutakuwa na kiburi cha kutamka haya?
 
Back
Top Bottom