Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimeenea habari mtaani kuwa lile goli la kwanza ilikuwa ofside. Amueni wenyewe.
MAROC 02 VS 01 TANZANIA 08/ 06/ 2013 - YouTube
Nazitamani zama hizi. Tulikuwa tunaelekea njia sahihi, lakini ghafla Malinzi katukalisha chini tena. Ni lini tena tutakuwa na kiburi cha kutamka haya?Mpira ni uwezo! Kwa sasa nadhani Tanzania tunauwezo kuliko Morocco hata wao wanajua ndo mana walianza mizwenge tngu nje ya uwanja. Kiukweli Maamuzi yalikua sahihi lakin naipongeza team yangu kwani ilinionyesha uwezo mkubwa sana sana kiufundi.