A Amon Member Joined Oct 17, 2010 Posts 49 Reaction score 3 Jun 12, 2013 #21 Tanzania wakate rufaa FIFA au mnasemaje wadau!
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,240 Reaction score 3,930 Jun 12, 2013 #22 Nyenyere said: Zimeenea habari mtaani kuwa lile goli la kwanza ilikuwa ofside. Amueni wenyewe. MAROC 02 VS 01 TANZANIA 08/ 06/ 2013 - YouTube Click to expand... Offside ya wazi kabisa, hata mpira ulipopigwa mfungaji alikuwa kazidi mkono!
Nyenyere said: Zimeenea habari mtaani kuwa lile goli la kwanza ilikuwa ofside. Amueni wenyewe. MAROC 02 VS 01 TANZANIA 08/ 06/ 2013 - YouTube Click to expand... Offside ya wazi kabisa, hata mpira ulipopigwa mfungaji alikuwa kazidi mkono!
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,804 Reaction score 10,715 Jun 12, 2013 Thread starter #23 zomba said: Offside ya wazi kabisa, hata mpira ulipopigwa mfungaji alikuwa kazidi mkono! Click to expand... Hii nayo mpya!!
zomba said: Offside ya wazi kabisa, hata mpira ulipopigwa mfungaji alikuwa kazidi mkono! Click to expand... Hii nayo mpya!!
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,804 Reaction score 10,715 Apr 10, 2018 Thread starter #24 Chizu Cka said: Mpira ni uwezo! Kwa sasa nadhani Tanzania tunauwezo kuliko Morocco hata wao wanajua ndo mana walianza mizwenge tngu nje ya uwanja. Kiukweli Maamuzi yalikua sahihi lakin naipongeza team yangu kwani ilinionyesha uwezo mkubwa sana sana kiufundi. Click to expand... Nazitamani zama hizi. Tulikuwa tunaelekea njia sahihi, lakini ghafla Malinzi katukalisha chini tena. Ni lini tena tutakuwa na kiburi cha kutamka haya?
Chizu Cka said: Mpira ni uwezo! Kwa sasa nadhani Tanzania tunauwezo kuliko Morocco hata wao wanajua ndo mana walianza mizwenge tngu nje ya uwanja. Kiukweli Maamuzi yalikua sahihi lakin naipongeza team yangu kwani ilinionyesha uwezo mkubwa sana sana kiufundi. Click to expand... Nazitamani zama hizi. Tulikuwa tunaelekea njia sahihi, lakini ghafla Malinzi katukalisha chini tena. Ni lini tena tutakuwa na kiburi cha kutamka haya?