mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Hata kama ni tsh 50 sadaka inanguvu kuliko maneno.
Kutoa sadaka ni kitendo, maombezi ni maneno.
Imani bila matendo imekufa
Faida za kutoa sadaka.
1: Utapokea. Maana vya Mungu tunavipata Kwa kutoa.
2: Ulinzi Kwa familia hasa watoto. Ayubu alitolea watoto Sadaka. Hata walipokufa, Mungu alimpa Zaidi baadae.
3:Sadaka alizotoa mwnamke Dorcas Zilisababisha Mungu ahairishe kifo chake Kwa kumfufua.
Sadaka inafufua mambo yaliyokufa.
4: Sadaka itamfya Mungu akuunganishe na mtumishi wa Mungu wa kweli. Cornelius mzungu mpagani sadaka zke zilimshusha malaika akamconnect na Petro.
5; Sadaka ni KAFARA, ni Damu, mtu akila sadaka yako kinyume na utaratibu ni sawa na kunywa Damu yako. Ni Muda tu, hiyo Damu aliyoinywa itamvuruga. Wewe itoe Kwa Imani tu.
Neno linasema.
...Wala wasitokee mbele za Bwana mikono mitupu. Torati 16:16
Fanyia kazi huu ushauri, utakufaidisha.
Muebrania.
Mitale na Midimu.