Usiende kanisani bila sadaka hata kama unamashaka, usiile tafuta pa kuipeleka

Tatizo sio kutoa sadaka? Je zinatumika ipasavyo?
 
Tatizo sio kutoa sadaka? Je zinatumika ipasavyo?
Makanisa makini Huwa yanatoa taarifa ya mapato na matumizi ya kipato chake na kila idara.
Pia kunakuwa na internal na external auditor kuhakiki na kudhibiti ufujaji. Financial transparency ili sababisha waisrael wamlilie Samweli alipostaafu.

Mungu ni WA utaratibu. Hata yeye aliaudit kazi zake akasema Ni njema Sana. Mimi ninapoabudu huo ndio utaratibu angalau Kuna udhibiti.

Ukiona kanisa hakuna utaratibu, hapo Bora hizo sadaka utoe huduma au vitu kuliko cash.

Mfano.
Unaweza kununua viti.
Matofari.
Mtumishi ukamnunilia suti.
TAFUTA familia isiyojiweza kwenye kusanyiko, toa msaada w vitu kimyakimya.


Lazima utumie hekima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…