Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Kuna mmoja alipigwa Chuma maeneo fulani fulani kule kesi ikahamia polisi polisi Segerea kisa nini viungo vya kiumeWakuu mazoea na hawa barmaids siyo kabisa, wanaweza kukuharibia ndoa.
Ujinga wa kawaida katika harakati za kufurahia starehe.Na kwann ufanye ujinga?
Huwa unapenda kuharibu mada za wenzako, si lazima kuchangia kila jambo.
Si rahisiPole sana. Ila ndio imevuka kiunzi?
Ndio tabia zao humu...mtu mwingine akileta threads, wanawahi kuwambia members kwamba hiyo ni chai....wapumbavu sanaHuwa unapenda kuharibu mada za wenzako, si lazima kuchangia kila jambo.