Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

Mkuu, naona umechanganya wavulana na wanaume
 
Facts fikirishi. Nice message we have here. Na kweli binafsi kukitokeaga kamgogoro baina yangu na Mr afu tukausolve ndo ile mafeelings huwa yanazidi aisee.

Kuna kaka angu mmoja alinipaga tip ambayo naishi nayo kibingwa akanitelli, "mademoiselle usimfanye mme wako kihongwe mdogo wangu. Tambua nafasi yako. Usimpigie makelele. Usiwe stress kwake. Akija kuniomba ushauri juu ya ujinga utakaomletea nitamwambia ondoka hapo kwa muda. Yani ondoka usiku usiku, tafuta mahali pa kwenda au kulala hata ni lodge. Asubuhi nenda kazini. Ukitoka pita nyumbani salimia acha hela afu beba nguo na viatu kwenye kibegi. Yani akuonyeshe kwamba ana mwanamke mwingine ili uhahe. Na sitakusaidia. Wewe simama kwenye nafasi yako af sometimes jifanye fala. Uone kama mwanaume hatakupenda."

Kuna muda tunatakiww tuwe mafala na tufunge macho. Tukiapply kanuni ya upole na hekima ama kunyamaza sometimes. Afu kuendelea kusimama katika nafasi zetu. Its the best remedy. Mwanaume hata awe dikteta vipi. Mwanamke akiwa mtii, mpole na mnyenyekevu udikteta hauna nguvu. Maana hata akija kukuaattack anakukuta na samahni kibao. Au pole kibao. Na akifanya jambo makusudi kucheck reaction anakukuta umetulia na kunyamaza kama sio wewe. Tena kama huoni. Atajiona mpumbavu. Atafanya yaliyo sawa. Utakua umeua ndege wawili kwa jiwe moja. Kupendwa zaidi na yeye kujirekebisha. Thinkin out loud here....
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wewe jamaa fund sana kuna tips yako moja huwa naitumia ni hatari
 
Asante sana mleta mada alafu wakumbushe madogo janja wawe na mamlaka juu ya wanawake zao sio dem anajiona yupo na shosti ake mwanaume alipewa mamlaka na alipewa ayatumie
 
Ahsante sana heshima yako Hannah
 
Daah..
Comment murua sana hii๐Ÿ‘Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ