Usifanye hivi kwa mkeo kama unataka kumfungulia biashara

Wanawake wanawaambia watoto ujinga sana😁 sema kwa damu yangu mimi huo ujinga sidhani kama utafua dafu.

Nina binti yangu ambaye akikua atakuwa jembe langu hata mama yake akileta fyoko tutaishi tu mtu wa kunipikia na kunifulia yupo tayari. Mwanamke akizaa toto la kiume akalijaza ujinga ndio unakuwa umekula hasara full suit!
Likiwa jinga yeye na mama yake wanakumaliza.
 
Nadhani ushauri wa maana zaidi ni kama unataka kufunga ndoa / partner fahamu kwamba unapata mwenza, msaidizi wa kuongoza jahazi kwa kupata kwake ni msaada kwako na sio kwamba mnaungana ili kila mtu aende kivyake bali wote muende sawa....

Thus mnakuwa na Chenu na Sio Chako na Chake..., after all kama mna familia na yeye anasaidia matumizi well and good (ndio maana ya msaidizi) sasa usipompa apate alafu kila siku anakupigia kukuomba hapo umemkomoa nani ?
 
Sahihi
 
Nitakopa yeye si ana kikoba uyo nitamwambia akope kwenye kikoba milioni 20 af ikiisha namkimbia
Kama anaweza kopa million 20 mzeya huyo sio wakuoa maama atakusumbua tuu kwanza mwanamme mwenye uwezo huo hana shida ya mwanaume maisha i mwake
 
Kwani pesa ndio zinamzagamua?
 
Wanabiashara zao na wao ndio wananipa za ndani kabisa kama ikitaka kuyumbua ua soko lipo vibaya sehemu zinazopatikana kwa bei nafuu yaani nikisema nina ndugu namaanisha sio hao ndugu zenu wenye uchu wa pesa
Kwanini uoe Kama humuamini unayetaka kumuoa?
 
Back
Top Bottom