Usifanye hivi kwa mkeo kama unataka kumfungulia biashara

Usifanye hivi kwa mkeo kama unataka kumfungulia biashara

Akiamua kujua atajua tu. Anaweza akachukua namba za agent au namba za dereva anayeleta hiyo mizigo, akajibebisha bebisha mwamba akatoa code zote hadi kuwa unavyonunua huwa unapigwa kwenye bei.
 
Akiamua kujua atajua tu. Anaweza akachukua namba za agent au namba za dereva anayeleta hiyo mizigo, akajibebisha bebisha mwamba akatoa code zote hadi kuwa unavyonunua huwa unapigwa kwenye bei.
Na wakalalana kabisa

Uho ndio itakuwa mwisho
 
Alafu ukifa, biashara inakufa, watoto wako wanaanza kuteseka. Muda mwingine fikiria watoto wako zaidi wataishi vipi wewe uwezo wa kufanya kazi ukipotea.
Your very right! Pia hata usipokufa mke na watoto wako wanakuua kwa kutumia mali ulizowatafutia. Wanaume hatutakiwi kujisahau sisi kwa maisha ya sasa na baadae.
 
Back
Top Bottom