Usifanye hivi kwa mkeo kama unataka kumfungulia biashara

Usifanye hivi kwa mkeo kama unataka kumfungulia biashara

Alafu ukifa, biashara inakufa, watoto wako wanaanza kuteseka. Muda mwingine fikiria watoto wako zaidi wataishi vipi wewe uwezo wa kufanya kazi ukipotea.
Nikifa atajua tu mzigo nilikuwa nachukulia wapi simu si atashika yeye atasoma kila kitu atapambana kutunza familia usimtengenezee urais mwanamke wa maisha
 
Back
Top Bottom