Usifanye hivi kwa mkeo kama unataka kumfungulia biashara

Nikifa atajua tu mzigo nilikuwa nachukulia wapi simu si atashika yeye atasoma kila kitu atapambana kutunza familia usimtengenezee urais mwanamke wa maisha
Unadhani ni rahisi hivyo aanze kushughulikia mambo bila mtu wa kumsaidia. Nina ushahidi kama huo, mzee yule alivyofariki, biashara ikafa maana mke wake ndo akaanza kuangaika sasa kuhusu mambo ya supply na madude mengine.

Ukipigwa stroke, utaendelea kumficha?
 
Hatakiwi kujua mambo yote na swala la kufa je akitangulia yeye?
 
Back
Top Bottom