Usifanye hivi kwa mkeo kama unataka kumfungulia biashara

Nikifa atajua tu mzigo nilikuwa nachukulia wapi simu si atashika yeye atasoma kila kitu atapambana kutunza familia usimtengenezee urais mwanamke wa maisha
Unadhani ni rahisi hivyo aanze kushughulikia mambo bila mtu wa kumsaidia. Nina ushahidi kama huo, mzee yule alivyofariki, biashara ikafa maana mke wake ndo akaanza kuangaika sasa kuhusu mambo ya supply na madude mengine.

Ukipigwa stroke, utaendelea kumficha?
 
Najua ila nachomaanisha nikuwa wajue humuhimu wako hivi unajua wanachokipandikiza wanawake kwa watoto
Sio wote wapo hivyo wewe kama mshua play pati yako vizuri kama baba wa familia hakuna litakaloharibika. Kuna wanawake ni zawadi ya mabadiliko kwenye familia wanazoolewa.
 
Hatakiwi kujua mambo yote na swala la kufa je akitangulia yeye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…