Usifanye hivi kwa mkeo kama unataka kumfungulia biashara

unapomuoa unakuta mzani wa mahusiano umebalansi, ukimfungulia biashara maana yake unaongeza uzito katika upande wake, na unapunguza kwako. Uache mzani ubalansi kama ulivyoukuta. Hao mbwa hawana shukrani, kamuulze Adam na Samsoni.

unaweza kumnunulia gari ya millions 100, akapigwa machine na mziba pancha, tena humo humo gereji kwenye magari mabovu
Kuna mmoja uho mumewe kampa kila kitu mchepuko wake kianamu cha bank ni casher
 
Mimi nikushauri tu jambo la msingi uelewe ni kuwa mwanamke hatakiwi kuwa partner wako kwenye kutafuta sababu kizazi cha sasa cha wanawake wanatabia za ubinafsi,husuda,chuki na uanaume,ushindani na wanaume na wanapenda kujimilikisha wao pekee yao bila kushare.

Kitendo cha wewe kumuoa kichukulie kama ni umechagua kumpatia chakula,sehemu ya kulala,na mavazi,tendo la ndoa basi. Watoto ni baraka wakija wasipokuja ni sawa tu, priorities muhimu ni MUNGU kwanza,wewe na afya yako ya mwili na akili,biashara na uchumi wako then watoto wako,wazazi halafu ndio mwanamke afuate. Kama unabisha nenda kinyume na hiyo formula utakuja kunambia hapa.

Kama mwanamke atakuwa anafosi kutoka kutafuta nje then usijihusishe hata na chochote, mkwepe na usijihusishe sababu hakuna utakachopata endapo kutakuwa na mafanikio kwenye shughuli atazofanya cha zaidi ni utapata dharau,viburi,kejeli,masimango,ujuaji,na kwa chochote atakachokupa trust me utakuja kukijutia baadae.
 
Uaminifu ni changamoto mkuu, atakaekupiga aji na alama usoni
Kama huyo mtu amekuletea ndugu zako (watoto) na ana Hisa ya hao ndugu zako (watoto) kwahio kuwa kwake welloff ni faida kwako pia..., hata kesho mkiachana ndugu zako (watoto) watakuwa na msaada...

Now ni kama mfano wa mbegu unapanda ili upate mchicha lakini unajua kabisa kuna uwezekano Bangi kuota..., kuacha kwako kupanda mchicha sababu ya bangi kuweza kutokea nadhani is being myopic to say the least...
 
Mwanamke usimfungulie biashara..fungua biashara yako, mke mwajiri kama mfanyakaz hapo kwenye biashara..mlipe mshahara wake ..na dhibiti asiibe ata mia!!

Kumfungulia biashara mke ni kumpa nguvu na mwisho atakutawala.
 
Kama huyo mtu amekuletea ndugu zako (watoto) na ana Hisa ya hao ndugu zako (watoto) kwahio kuwa kwake welloff ni faida kwako pia..., hata kesho mkiachana ndugu zako (watoto) watakuwa na msaada...

Now ni kama mfano wa mbegu unapanda ili upate mchicha lakini unajua kabisa kuna uwezekano Bangi kuota..., kuacha kwako kupanda mchicha sababu ya bangi kuweza kutokea nadhani is being myopic to say the least...
Mkuu naelewa unachokisema but the game have changed. Relationship and marriage are not the same they used to be.
 
It's just perspective na kuangalia ni nini cha maana zaidi...;
  • Moja nina uwezo wa kuweza kumpa mtu ambaye ni msaidizi wa kulisha familia na kupeleka watoto shule aweze kujisimamia ili asiniombe hata pesa ya pedi, lakini simpi sababu ninaepuka asije kuniacha (ni kweli anaweza kuniacha)
  • Au nampa hata akiniacha its all good lakini nina msaidizi kwenye kona yangu ya kuweza kuwasaidia watoto waliopo wasipigike (mama yao yupo vizuri)...
Now which is better kumsaidia kama uwezo ninao (sababu sio mke tu..., kusaidia penye potential ndio utu wenyewe) na ukizingatia kama akifanikiwa sio tu pesa au mbinu ulizompa ndio zilimuwezesha, bali ni uchapakazi wake pia....., Au kuacha kumsaidia ili wote tuendelee kukaa kwenye level tuliyopo au mimi niwe juu yeye chini ? (Kama hicho ndio kigezo kwanini utafute mke na usitafute kijakazi cha kukutumikia na always kufanya unachosema)?

By the way which is better kuona ulichotoa kimezaa hata kupunguza maombi ya kuombwa chumvi AU kila siku kuletewa kesi za VICOBA na matatizo ya Kiuchumi yasiyoisha ?
 
Mie nina ushuhuda kuna watu wabinafsi sana, wangu ilikuwa kila nikitaka kufanya biashara ni vikwazo sababu ya too much insecurities kwenye biashara akachukua control ya kila kitu na kiukweli biashara zilikuwa zikimsaidia yeye ku cover baadhi ya vitu na nilikuwa sipati ata mia ya matumizi binafsi sio wa saluni mie , sio wa kununua kitu, sio wa kwenda nyumbani kusalimia, sio ata wakusaidia wazazi au wadogo zangu. Sasa huwa tunagombana sana sababu hataki nitoke kabisa hata kwenda kusalimia ndugu na jamaa au kwenda ata kariakoo kufata material ya biashara anakwambia agiza mtu mind you hizo biashara nimebuni mimi na supplier nime tafuta mwenyewe ( yeye miaka yote ni ahadi tuu sitaki ufanye kazi ngoja nipate pesa nyingi nitakufungulia biashara mwaka wa nane huu bila bila ). Mara ya mwisho tumegombana kakata huduma zote ndani lakin namshukuru Mungu mie na wanangu tunakula vizuri na sijalia njaa kwa mtu alijua ananikomesha kwa vile sina kitu ila akasahau mimi ni problem solver kukosa pesa hakujawahi kunifanya nidhalilike au kujidhalilisha.
 
Wanawake walio wengi hawana hekima ya kike wakianza kushika hela kwa sababu kiasili hawajaumbwa kuwa providers
 
Kwahiyo sasaivi anae leta food ni nani?
 
Kama uliyoandika ni ya kweli basi pole. Lakini hatuwezi kukuamini na kumuona uyo mume wako mbaya bila kusikiliza nae ana lipi la kusema.

Habari yako haija-balance
 
Kwahiyo sasaivi anae leta food ni nani?
Hakuna na chakula cha mifugo pia maana ninafuga bata na bata mzinga nilikuwa nikipata chochote kwenye biashara nanua chakula cha mifugo akasema mie naficha pesa ikabidi nimuachie yeye awe ananunua sasa hata hicho hanunui
 
Pole sana
 
Wanawake walio wengi hawana hekima ya kike wakianza kushika hela kwa sababu kiasili hawajaumbwa kuwa providers
Kwahio hapo ni cha maana ni kutokufanya kosa katika Uchaguzi, Kuna Msemo wa Ki Gambia unaosema Mke Mbaya / Mbovu ni kama Jino Bovu..., hakuna jinsi zaidi ya kuliondoa...
 
Kama uliyoandika ni ya kweli basi pole. Lakini hatuwezi kukuamini na kumuona uyo mume wako mbaya bila kusikiliza nae ana lipi la kusema.

Habari yako haija-balance
Asante ni kweli.. lakini ata umkisikiliza mume wangu nae ana ya kwake hawezi kukosa cha kusema aliongea kwenye simu na mama angu masaa matatu na mama yupo njia panda hajui asimame upande wa nani. Mimi sihitaji mtu aniamini kwa sababu ninayopitia najua mimi mwenyewe na maamuzi napaswa kufanya mwenyewe that's why sijawahi kutafuta huruma kwa mtu au ndugu kuwaelezea ninayopitia ni mume wangu mwenyewe kaamua kumpigia mama simu na kumueleza kwa upande wake. Nilijaribu kuwa open kwa % ndogo tuu kwa chatgpt hata yenyewe inashangaa how patient I am
 
Hapo kwa chatgp ulifanyaje aisee?
 
Back
Top Bottom