Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Ilo wazo lipo mkuu, ingawa bado kuna mambo nayaweka sawa.Mkuu, mjengee japo vyumba viwili atulie na mwanao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilo wazo lipo mkuu, ingawa bado kuna mambo nayaweka sawa.Mkuu, mjengee japo vyumba viwili atulie na mwanao
Ha ha ha haMaamuzi ya kulala na Mfalme Zumaridi utajilaumu kesho asubuhi.
UNALALA NA MALAIKA, UNAAMKA NA ZOMBIE.
View attachment 2142142
Sasa pamoja ha hayo yote si ungempa tu hela ya kulipiaHujafikia hatua ya kulea familia wewe kama mwanaume....kwa hiyo uyoo mtoto wako unataka aishie kuishi kwenye hizo nyumba za kupanga??.
Huwa nafanya hivyo mkuuMpe kodi sasa,
Ova