Usifanye makosa haya kwenye kuoa au kuolewa

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Natoa tip kwa wale ambao hawajaoa au kuolewa usije fanya kosa hili kubwa kwenye maisha yako.

Mpende sana mtu wako na kumheshimu siku zote, love should always be unconditional and not conditional so avoid being submissive to your love yani maana yake usikae na mtu kwa sababu ya status yake so ukaogopa sana kama akikuacha itakuwaje either ni mzuri sana, ana akili sana au ana kipato sana mention any status.

Nimeona vijana wengi sana wanakuwa wanyeyekevu wa wapenzi wao wakihofia kuachwa what will happen next - Acheni undezi
 
Andika kwa kutumia lugha moja sio unatuchanganyia mara kingereza mara kiswahili
 
Hata mama yako hawezi kukupa unconditional love, hizo ni habari za kusadikika.
 
Natoa tip kwa wale ambao hawajaoa au kuolewa usije fanya kosa hili kubwa kwenye maisha yako.

Mpende sana mtu wako na kumheshimu siku zote, love should always be unconditional and not conditional so avoid being submissive to your love yani maana yake usikae na mtu kwa sababu ya status yake so ukaogopa sana kama akikuacha itakuwaje either ni mzuri sana, ana akili sana au ana kipato sana mention any status.

Nimeona vijana wengi sana wanakuwa wanyeyekevu wa wapenzi wao wakihofia kuachwa what will happen next - Acheni undezi
Unapataje stresa wakati kuna watoto kila siku wanamaliza shule😆😆
 
Natoa tip kwa wale ambao hawajaoa au kuolewa usije fanya kosa hili kubwa kwenye maisha yako.

Mpende sana mtu wako na kumheshimu siku zote, love should always be unconditional and not conditional so avoid being submissive to your love yani maana yake usikae na mtu kwa sababu ya status yake so ukaogopa sana kama akikuacha itakuwaje either ni mzuri sana, ana akili sana au ana kipato sana mention any status.

Nimeona vijana wengi sana wanakuwa wanyeyekevu wa wapenzi wao wakihofia kuachwa what will happen next - Acheni undezi
acha uwongo uwongo wa kijinga! nispomnyenyekea mpenzi wangu kwa hzo status zote haina maana utajutia ukiachwa, mapenzi ni kujituma either umpende sana na yeye akuthamini, umuhudumie sana na yy akuthamini and vise versa! ushauri wangu ukiona inafaa kumuonga ili umpate onga tu bro! na na kma uzuri wake unakupa hamasa kubwa msifie bro mapenzi ndivyo yalivyo.. 🙂
 
Hizi ni tabia hatarishi, za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Back
Top Bottom