Un
Ni kudanganyana kusema ananipenda jinsi nilivyo mchukuwe ukaishi naye uone. Tuwaambie watu ukweli lazima yawepo maandalizi mazuri ya muda mrefu ya kiroho, kiuchumi na kijamii ili upate ndoa nzuri .
My bro. hicho kitu unconditional love haipo kwa mwanadamu, Ni Mungu tu ndiye anaupendo huo kwa mwanadamu. Sisi wanadamu tuna conditional love. Hata kwenye biblia Isaka pamoja na kuposewa mke na baba yake Ibrahim alimpenda mke wake Rahel kwa kuwa aikuwa mzuri wa sura, fuatilia Yakobo na Rebecca, Daudi na Bethsheba nk mwanadamu anatafuta kitu fulani mtu aichonacho aidha kipawa, fedha, mali, cheo, kisomo, biashara, aina ya kazi na vitu mbalimbali.Natoa tip kwa wale ambao hawajaoa au kuolewa usije fanya kosa hili kubwa kwenye maisha yako.
Mpende sana mtu wako na kumheshimu siku zote, love should always be unconditional and not conditional so avoid being submissive to your love yani maana yake usikae na mtu kwa sababu ya status yake so ukaogopa sana kama akikuacha itakuwaje either ni mzuri sana, ana akili sana au ana kipato sana mention any status.
Nimeona vijana wengi sana wanakuwa wanyeyekevu wa wapenzi wao wakihofia kuachwa what will happen next - Acheni undezi
Ni kudanganyana kusema ananipenda jinsi nilivyo mchukuwe ukaishi naye uone. Tuwaambie watu ukweli lazima yawepo maandalizi mazuri ya muda mrefu ya kiroho, kiuchumi na kijamii ili upate ndoa nzuri .