Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Andika kwa kutumia lugha moja sio unatuchanganyia mara kingereza mara kiswahili
Hata mama yako hawezi kukupa unconditional love, hizo ni habari za kusadikika.
ata kama ana chura?
Kumbe mada yako mwenyewe hata huelewi, basi mkuu.Ndiyo nyie mkiachwa mnajiuwa - sasa komaa na mwanamke na conditions zako
Kumbe mada yako mwenyewe hata huelewi, basi mkuu.
Wanawake wenye chura Ndio uongoza kwa kuolewa wakifatia wasichana weupeata kama ana chura?
Unapataje stresa wakati kuna watoto kila siku wanamaliza shule😆😆Natoa tip kwa wale ambao hawajaoa au kuolewa usije fanya kosa hili kubwa kwenye maisha yako.
Mpende sana mtu wako na kumheshimu siku zote, love should always be unconditional and not conditional so avoid being submissive to your love yani maana yake usikae na mtu kwa sababu ya status yake so ukaogopa sana kama akikuacha itakuwaje either ni mzuri sana, ana akili sana au ana kipato sana mention any status.
Nimeona vijana wengi sana wanakuwa wanyeyekevu wa wapenzi wao wakihofia kuachwa what will happen next - Acheni undezi
Tabia gani hii umeianzisha? Uzi wa 4 huu nakuona
Leo nasoma comments tuTabia gani hii umeianzisha? Uzi wa 4 huu nakuona
Leo nasoma comments tuTabia gani hii umeianzisha? Uzi wa 4 huu nakuona
acha uwongo uwongo wa kijinga! nispomnyenyekea mpenzi wangu kwa hzo status zote haina maana utajutia ukiachwa, mapenzi ni kujituma either umpende sana na yeye akuthamini, umuhudumie sana na yy akuthamini and vise versa! ushauri wangu ukiona inafaa kumuonga ili umpate onga tu bro! na na kma uzuri wake unakupa hamasa kubwa msifie bro mapenzi ndivyo yalivyo.. 🙂Natoa tip kwa wale ambao hawajaoa au kuolewa usije fanya kosa hili kubwa kwenye maisha yako.