Usifikishe Miaka 60 Bila Kufanya Haya 6

Upo sahihi, nakubaliana na wewe Lakini si unajua bongo nyoso? Sasa ushafika 40+ Lakini bilabila😁 ufanyeje ujinyongee???
Maisha ndiyo haya haya ,nazungumzia kwa yule aliyejaliwa kipato basi apambane around 35 awe na mjengo kwa7bu 35-50 hapo ni kusomesha kwa kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…