Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
aisee.. wewe jamaa upo?Ukweli ndo huu mtu anakomaa na ww kwamba anakujua so what?
Halafu unakuta mwingine kazi kukufatilia tu humu jf ili kunikera ati haaa mimi sikereki
Hunijui sikujui tumekutana tu hapa jf halafu unakomaa na kudeal na yangu tu na kunidiscus kwenye pm zenu si useme tu face to face?
Mtu anavizia nikilog off anaanzisha mada au post za kuniharibia loooh unafikiri mm level yako?
Tusiforce kufanana wala kujuana
Pambana na hali yako
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kumbe huyo ndio mr behaviour!!
Kama yule bwege ambaye kila mara anakomaa eti miss natafuta na chikira mtabari/nahuja ni madume!!!bora uwaambie kuna watu wanakera mtu anakununulia mb kabisa . fata yako
AHAHAA SIJUI HUWA ANAWASHWA NINI? NAWEWE KUJIBADILISHA BILA KUNIAMBIA UKANIACHA NIKAKUMISS HIVO SHOGA YANGU WA HIARI?Kama yule bwege ambaye kila mara anakomaa eti miss natafuta na chikira mtabari/nahuja ni madume!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uuuuuuwiiiihNafikiri umesahu hii[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Nisamehe mwaya nilipitiwa, hahahaahahhaahahahAHAHAA SIJUI HUWA ANAWASHWA NINI? NAWEWE KUJIBADILISHA BILA KUNIAMBIA UKANIACHA NIKAKUMISS HIVO SHOGA YANGU WA HIARI?