Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe ndugu yangu boara urudi kule kwenye vijiwe vyenu vya FB na IG vyenye mambo kama haya uliyoandika. Hapa ni kwa wasomi tu majungu marufukuUkweli ndo huu mtu anakomaa na ww kwamba anakujua so what?
Halafu unakuta mwingine kazi kukufatilia tu humu jf ili kunikera ati haaa mimi sikereki
Hunijui sikujui tumekutana tu hapa jf halafu unakomaa na kudeal na yangu tu na kunidiscus kwenye pm zenu si useme tu face to face?
Mtu anavizia nikilog off anaanzisha mada au post za kuniharibia loooh unafikiri mm level yako?
Tusiforce kufanana wala kujuana
Pambana na hali yako
Jinsia yako tafadhaliUkweli ndo huu mtu anakomaa na ww kwamba anakujua so what?
Halafu unakuta mwingine kazi kukufatilia tu humu jf ili kunikera ati haaa mimi sikereki
Hunijui sikujui tumekutana tu hapa jf halafu unakomaa na kudeal na yangu tu na kunidiscus kwenye pm zenu si useme tu face to face?
Mtu anavizia nikilog off anaanzisha mada au post za kuniharibia loooh unafikiri mm level yako?
Tusiforce kufanana wala kujuana
Pambana na hali yako
Ukiona hivyo ujue watu wana mahaba na wewe..bora uwaambie kuna watu wanakera mtu anakununulia mb kabisa . fata yako