Usiforce tufanane pambana na hali yako

Usiforce tufanane pambana na hali yako

Ukweli ndo huu mtu anakomaa na ww kwamba anakujua so what?
Halafu unakuta mwingine kazi kukufatilia tu humu jf ili kunikera ati haaa mimi sikereki
Hunijui sikujui tumekutana tu hapa jf halafu unakomaa na kudeal na yangu tu na kunidiscus kwenye pm zenu si useme tu face to face?
Mtu anavizia nikilog off anaanzisha mada au post za kuniharibia loooh unafikiri mm level yako?
Tusiforce kufanana wala kujuana

Pambana na hali yako
Sasa wewe ndugu yangu boara urudi kule kwenye vijiwe vyenu vya FB na IG vyenye mambo kama haya uliyoandika. Hapa ni kwa wasomi tu majungu marufuku
 
Ukweli ndo huu mtu anakomaa na ww kwamba anakujua so what?
Halafu unakuta mwingine kazi kukufatilia tu humu jf ili kunikera ati haaa mimi sikereki
Hunijui sikujui tumekutana tu hapa jf halafu unakomaa na kudeal na yangu tu na kunidiscus kwenye pm zenu si useme tu face to face?
Mtu anavizia nikilog off anaanzisha mada au post za kuniharibia loooh unafikiri mm level yako?
Tusiforce kufanana wala kujuana

Pambana na hali yako
Jinsia yako tafadhali
 
Back
Top Bottom