Usiforce tufanane pambana na hali yako

Usiforce tufanane pambana na hali yako

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507
Ukweli ndo huu mtu anakomaa na ww kwamba anakujua so what?
Halafu unakuta mwingine kazi kukufatilia tu humu jf ili kunikera ati haaa mimi sikereki
Hunijui sikujui tumekutana tu hapa jf halafu unakomaa na kudeal na yangu tu na kunidiscus kwenye pm zenu si useme tu face to face?
Mtu anavizia nikilog off anaanzisha mada au post za kuniharibia loooh unafikiri mm level yako?
Tusiforce kufanana wala kujuana

Pambana na hali yako
 
aisee.. wewe jamaa upo?
umeacha kutumia ile id yako ya Behaviourist ?
cc Inna
 
Kama yule bwege ambaye kila mara anakomaa eti miss natafuta na chikira mtabari/nahuja ni madume!!!
AHAHAA SIJUI HUWA ANAWASHWA NINI? NAWEWE KUJIBADILISHA BILA KUNIAMBIA UKANIACHA NIKAKUMISS HIVO SHOGA YANGU WA HIARI?
 
Nafikiri umesahu hii[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uuuuuuwiiiih
 
Sitii neno miyeeee [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Mahondaw wa Smart911
 
Back
Top Bottom