Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 675
- 690
Mama Makinda alikuwa systematic sana kwenye maamuzi. Kumbuka jinsi alivyomtumia Lissu kwenye suala la ESCROW, mpaka likafika pale lilipofikia. Hawezi kulinganishwa na Ndugai
Waganga wa kienyeji ndiyo mbadalaNdiyo tulizonazo! Je, kuna njia mbadala?
Hakuna njia hapo hata mahakama zimepoteza sifa .mahakimu na wanasheria wamejitoa ufahamu kwa sababu ya njaa na uwogaUnafikiri kuna njia nyingine ipi badala ya Mahakama. Naomba nifahamishe usinitusi.
Wameshikwa pabaya, wewe unamwona hata pascal mayala anasema lolote,Wakijitokeza niambie
Jr[emoji769]