Usiginwaji wa Katiba Bungeni: Watetezi wa Haki za Binadamu nchini walaani. Wawakumbushia umuhimu wa kila raia kuilinda Katiba ya Nchi

Kwani
Utakufa tu wewe kabla hiyo siku unayoitaka ifike! Unafikiri Bunge linafanyakazi kwa kufuata habari za mitandaoni?
We we upo hapa chato au upo buyenzi haya wanayo tutendea hawa wakulima huyaoni
 
Tatizo kubwa ni kwamba hatuna mahakama huru hata bunge sio huru vyombo hivi vinaendeshwa kwa remote toka white house.

Refaa kesi ya Lissu, mtu kapigwa risasi yuko hspl kavuliwa ubunge eti spika anadai hajui alipo ni mtoro kituko cha mwaka hakuna wa kumsema, ni top above the law.

Mahakama inakataa kusikiliza rufaa eti itasigana na bunge, haki iko wapi kama sio kuruhusu dhulumati ziendelee.

Mbunge katangaza kujivua ubunge wa chama inawezekana vipi arudi bungeni kwa kigezo gani, maajabu ya Mussa. MaCCM ni janga la Taifa la Tanzania.

Ni muhimu tuwe na tume huru ya uchaguzi tuwe na katiba bora itakayo dhibiti udikiteta pande zote!!
 
Hapo mmepigwa technical knock out! Katibu Mkuu wa CDM hajui anapashwa kumjulisha nani kama Mbunge amekoma kuwa Mwanachama na ni nani anayetangaza kuwa Mbunge amekoma kuwa Mbunge! Hawajui nani anamtangaza Mbunge na nani anafuta au kutangaza kuwa Ubunge wa mbunge umekoma!
 

..Cecil Mwambe anajua yeye siyo mwanachama wa CDM na ndiyo maana aliacha kuhudhuria vikao vya bunge.
 
..Cecil Mwambe anajua yeye siyo mwanachama wa CDM na ndiyo maana aliacha kuhudhuria vikao vya bunge.
Nyinyi mtakuwa mnapigwa knock out kila mara kwa kuwa ni mbumbumbu wa sheria!
 
Kama amekiuka Katiba si mchukue hatua kuliko kulalamika tu huku mtandaoni. Jamani inakera. Mahakama si zipo.
Wakiita nchi zenye muhimili wa mahakama duniani Tz, unaweza iweka?!!! Acha utani bwana!!!!!!! Ndio maana wazungu huwa wanatuona miafrika kama nyani tu! Kuanzia watawala hadi watawaliwa!!! Kinachofanyika kwa sasa ni aibu,
 

..vyovyote itakavyokuwa uamuzi wa Cecil Mwambe kujiunga na CCM unapaswa kuheshimiwa.
 
Anayemuagiza spika kusigina katiba ya nchi, ndio anayemlipa jaji mkuu.
Kesi ya nyani kula mahindi iende kwa hakimu Ngedere, Mwanadamu ategemee nini!!

Hao wanaosema kesi iende mahakamani wanajua nini kinafuata.

Mwezi November, Mbatia ataenda Bungeni ashinde au ashindwe!
Wapinzani wote hakuna atakayerudi Bungeni ashinde au ashindwe.

Juzi kulikuwa na kituko kingine cha Polisi kuamuru Wabunge wakamatwe bila kujua ni kwa kosa gani.
Polisi wanasema mwenyekiti wa kamati ya usalama wa mkoa kasema, siyo OCCID, RPC au IGP.

Ndugai bila aibu anampeleka mtu asiye Mbunge akapate masilahi. Kama kuna watu wanaoliponza Taifa hili huyu bwana ni mmoja wapo. Bunge limepoteza thamani akiwa kiongozi. Hivi bado wapo Dodoma? Wanajadili nini maana sifuatilii hata kwa bahati mbaya.

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha standard gauge, CAG alivyoliita bunge dhaifu na limeshikiwa akili na jiwe je aliandika barua kwa maandishi akamplekea ndugali au aliongea tu knyn chombo cha habari? Mbona alimwita sasa ajieleze kama hafanyii kazi habari za media?
 
Haya mambo mwalimu NYERERE, aliyaona sana, ndio maana akasema binadamu anaweza akajifanya MUNGU mtu, na ndio kinachotokea na hiyo ni spika tu chanzo ni radio ipo sehemu nyingine kijijini imetulia, mambo yanaendeshwa kama mpira wa makaratasi?!!!
nadhani Ndugai alipoenda kutibiwa aliambiwa na na idadi ya siku zake zilizosalia , kwa sababu haiwezekani mtu anayetarajia kuishi miaka kadhaa afanye madudu kama anayofanya Ndugai .
 
Roving Journalist,

Ndugai ni spika hovyooo kabisa hajawahi kutokea katika historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nakumbuka yale maneno ya miaka mingi.BUNGE NI DHAIFU.Ina maana wabunge wetu hawalioni hili wailinde katiba wanayoitumia kila siku wamkemee bosi wao.
 
Soma vizuri,hapo juu,wanasema katibu mkuu ambaye ni msemaji mkuu wa chama alitoa taarifa kwa spika,kwa maandishi.Jamani mnataka nini tena,tusibishe tu kesho atatokea mwingine,ref,itatumika hii ya spika.Kwa nini una macho na masikio , unasikia,unaona unajifanya husikii na wala huoni.Subirini kuna siku itakuwa hivyo ghafla.Mungu hadhihakiwi,apandacha mtu ndicho atakachovuna.Wanasheria wa Tanzania mko wapi tualumbana huku, tupeni ufafanuzi
 
Kwani kakubali kurudi Bungeni? Ni wa kuteuliwa au wa Chadema! Maajabu loooooh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…