USIHADAIKE: Hakuna uchawi wa kumfanya mtu akulipe deni

Safi sana...
Naona hapo ni kusamehe na kusonga mbele, tumuachie muumba sisi wenye imani, ila tatizo laja tena kama ulivyodai, huruma kaka huruma, kuna wengine waja waona kabisa usiposaidia hata kidogo, hutalala usingizi nyumbani! Ni shida kabisa...
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
 
Safi sana...
Naona hapo ni kusamehe na kusonga mbele, tumuachie muumba sisi wenye imani, ila tatizo laja tena kama ulivyodai, huruma kaka huruma, kuna wengine waja waona kabisa usiposaidia hata kidogo, hutalala usingizi nyumbani! Ni shida kabisa...
Kabisa ni kumuachia Mungu yote.

Ila kuna ambao wakimwachia Mungu,aliyekuwa anadaiwa imekula kwake.
 
Mimi purukushani za kudaiana madeni zimenishinda siku nyingi sana........nimepunguza tu kiwango cha kuwasaidia watu na nikilazimika kumkopesha basi ni kiwango ambacho nitamudu kukivumilia kukipoteza.......akinilipa sawa....asiponilipa sawa........

Wema wangu umenijengea maadui wengi badala ya marafiki............
 
Wanasema ukitaka ubaya(uonekane mbaya) dai chako
 
Na aliyenitapeli milioni zangu nimfanyeje mkuu?
 
Ukiweza mkate pumzi asipumue tena.. Ukiweza Laini
Mkuu mshana heshima yako,huu Uzi nimeusoma hapa nikiwa natokea mahakamani,(ishu ni deni).inauma sana asikwambie MTU,nilicho jifunza ni kua sitakua mwepesi tena kukopesha MTU pesa(anae nisumbua ni MTU tunaheshimiana sana na ni MTU wa kalibu ).ngoja niishie hapa.
 
Mungu wangu pole sana sana.. Kesi imefikia wapi?
 
daaaaah inavoonekana naelekea kupoteza pambano
Yeah kwakuwa pengine hukumkopesha kwa mkataba ama maandishi yanayoeleweka na hata akikubali kukulipa anaweza kutaja kiasi kidogo sana na kwa kila mwezi
Na mbaya zaidi sheria inamruhusu kulipa kidogo kidogo
 
Mkuu samahani nje ya mada,kuna inishu uliwahi ongea kuhusu mtu kua anaota ndoto yupo shule ya msingi,anafanya mtihani,wakat Alisha maliza shule ya msingi kitambo.naomba kama unaweza unipe maelekezo zaidi.PM tafadhari
 
Takucheki usijali
 
Unazunguka sana, dawa ya kukopesha ni kumiliki mali ya thamani zaidi ya mkopo kutoka kwa mkopaji na asiporudisha ndani ya muda mliokubaliana, mali unachukua moja kwa moja.
Umesema ukweli Leta kitu cha thamani nikukopeshe hakuna cha ziada.
 
Kwenye madeni mtu ukijichanganya kwa waganga lazima upigwe tu.

Ila kuna mambo mengine wengine huwa hatupendi kutoa confession ngoja nitulie sitaki comments za kuitwa tapeli.
Toa ushuhuda mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…