Vipi speed yake mkuu.?Angalia hapo juu
Hata mimi huwa napenda sana interface ya app kuliko browsing.Watu wanapenda application kuliko browser Kwasababu app ni convient
Sawa ngoja tutest mitamboNimekuwekea picha hapo juu mtumish download saivi
Ni bando lako tu kaka achana na VPN kabisa kuingia jamiiforum
😀😃Speed kama ya mbape au pacome kaka
Sawa, kazana kuhamasisha wengine tuendelee kuvunja sheria za Nchi...Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Wambien na wengine ambao hawajui
Asanten sana
LONDON BOY
Tumsifu YESU KRISTO