Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙋♂️✍️📝🎯💯%👌👍👊👏🤝🙏💐🎁🗼🎖️🏆👑🛡️Ligi za barabarani kati ya madereva nyingi zimesababisha majanga mengi kwa:
Madereva,
Abiria,
Waenda kwa miguu,
Magari,
Na uharibifu wa mali.
Kuna watu leo hii ni marehemu, wakiwa wameacha wajane na yatima kwa sababu ya hizi ligi. Kuna watu leo hii ni walemavu na wamegeuka tegemezi kwa asilimia mia kwa sababu ya hizi ligi. Hasara ni nyingi, na madhara ni mengi pia.
Lakini je, ulishawahi kujiuliza hao wanaokimbia sana barabarani wanakimbilia nini? Wanawahi nini? Wao sio polisi kwamba wanawahi eneo la tukio; sio fire kwamba wanawahi kuzima moto mahali; sio ambulance kwamba wanawahi kuokoa uhai mahali.
Katika maisha yao yote wamekimbia, lakini hawana walichotuzidi... labda ajali! Walikowahi hawakupata kikubwa zaidi... labda fumanizi!
Barabarani, nenda mwendo wako. Usiige, usifanye ligi za bure. Hazina mwamuzi, hazina kombe.
Unayefanya naye ligi:
Hujui uzima wa gari yake,
Hujui uzima wa tairi zake,
Hujui umahiri wake kwenye usukani na pedeli,
Hujui changamoto zake kwenye maisha.
Sasa unashindana naye ili iweje?
Maisha yako ni muhimu zaidi ya ligi zisizo na faida. Una wapendwa wanakusubiri nyumbani. Wafikirie hao kwanza kabla hujaamua kukoleza mwendo ili kuonesha ushujaa usio na pongezi.
Jioni njema, Tanganyika!
Ni Mungu tu alikunusuruNi kweli mkuu Mshana Jr hasa hawa vijana wa bodaboda wanakuwa wana wenge sana, nakumbuka kipindi fulani nilikuwa naenda Zanzibar ile nimechukua boda maeneo ya Sinza tena saa 12 asbh boat ilikuwa inaondoka saa 1 asbh, boda nikamwambia nawahi bandarini mwanangu twende chap aisee alikuwa anaendesha rafu mpaka nikamwambia taratibu kijana hakuelewa tulipofika Shekilango ikabidi nishuke nikampa hela yake.
Nikapanda boda nyingine aisee sijui alikuwa amepigiwa simu na abiria alitupita kwa kasi sana ile tunafika Tip top tulimkuta kaingia uvunguni mwa roli la mafuta. Nyama za mwili zimetawanyika na uhai alipoteza yule dereva.
Kimsingi Madereva wengi wa Tanganyika hawana adabu na barabara.
Ahsante sana kwa tahadhari ya msingi kabisa, na ni mojawapo ya kinga ya ajali.Ligi za barabarani kati ya madereva nyingi zimesababisha majanga mengi kwa:
Madereva,
Abiria,
Waenda kwa miguu,
Magari,
Na uharibifu wa mali.
Kuna watu leo hii ni marehemu, wakiwa wameacha wajane na yatima kwa sababu ya hizi ligi. Kuna watu leo hii ni walemavu na wamegeuka tegemezi kwa asilimia mia kwa sababu ya hizi ligi. Hasara ni nyingi, na madhara ni mengi pia.
Lakini je, ulishawahi kujiuliza hao wanaokimbia sana barabarani wanakimbilia nini? Wanawahi nini? Wao sio polisi kwamba wanawahi eneo la tukio; sio fire kwamba wanawahi kuzima moto mahali; sio ambulance kwamba wanawahi kuokoa uhai mahali.
Katika maisha yao yote wamekimbia, lakini hawana walichotuzidi... labda ajali! Walikowahi hawakupata kikubwa zaidi... labda fumanizi!
Barabarani, nenda mwendo wako. Usiige, usifanye ligi za bure. Hazina mwamuzi, hazina kombe.
Unayefanya naye ligi:
Hujui uzima wa gari yake,
Hujui uzima wa tairi zake,
Hujui umahiri wake kwenye usukani na pedeli,
Hujui changamoto zake kwenye maisha.
Sasa unashindana naye ili iweje?
Maisha yako ni muhimu zaidi ya ligi zisizo na faida. Una wapendwa wanakusubiri nyumbani. Wafikirie hao kwanza kabla hujaamua kukoleza mwendo ili kuonesha ushujaa usio na pongezi.
Jioni njema, Tanganyika!
Usinipite kwa dharau mkuu nakuamshia dudeLigi za barabarani kati ya madereva nyingi zimesababisha majanga mengi kwa:
Madereva,
Abiria,
Waenda kwa miguu,
Magari,
Na uharibifu wa mali.
Kuna watu leo hii ni marehemu, wakiwa wameacha wajane na yatima kwa sababu ya hizi ligi. Kuna watu leo hii ni walemavu na wamegeuka tegemezi kwa asilimia mia kwa sababu ya hizi ligi. Hasara ni nyingi, na madhara ni mengi pia.
Lakini je, ulishawahi kujiuliza hao wanaokimbia sana barabarani wanakimbilia nini? Wanawahi nini? Wao sio polisi kwamba wanawahi eneo la tukio; sio fire kwamba wanawahi kuzima moto mahali; sio ambulance kwamba wanawahi kuokoa uhai mahali.
Katika maisha yao yote wamekimbia, lakini hawana walichotuzidi... labda ajali! Walikowahi hawakupata kikubwa zaidi... labda fumanizi!
Barabarani, nenda mwendo wako. Usiige, usifanye ligi za bure. Hazina mwamuzi, hazina kombe.
Unayefanya naye ligi:
Hujui uzima wa gari yake,
Hujui uzima wa tairi zake,
Hujui umahiri wake kwenye usukani na pedeli,
Hujui changamoto zake kwenye maisha.
Sasa unashindana naye ili iweje?
Maisha yako ni muhimu zaidi ya ligi zisizo na faida. Una wapendwa wanakusubiri nyumbani. Wafikirie hao kwanza kabla hujaamua kukoleza mwendo ili kuonesha ushujaa usio na pongezi.
Jioni njema, Tanganyika!
Ila ndio ukweli ya IST amchape BMW ni dharau kubwa mno na inabidi kuwe na sheria mpya barabaran ni "marufuku IST,vitz,paso,sienta,fun cargo na bebi walker zote kuipita BWM,Range,V8 n.k popote pale barabarani vinginevyo fine inahusika"Tatizo mtu anahisi akipitwa barabarani amedharauliwa mathalani ukute mtu anaendesha BMW halafu apitwe na ka IST anaona kadharauliwa anaanzisha ligi bila kujua kila mtu anaratiba zake
Iko hivi,Naona leo kila mtu hapa hapendi ligi. Yaani unipite kwa mbwembwe mara uniwashie taa,unipigie honi aaah nitakuonesha kidogo nguvu ya GTi 🤣🤣🤣
Cc Extrovert
ISO M.CodD
😂😂😂 Kama chuma YAKO unaiamini hakuna noma kabisaNaona leo kila mtu hapa hapendi ligi. Yaani unipite kwa mbwembwe mara uniwashie taa,unipigie honi aaah nitakuonesha kidogo nguvu ya GTi 🤣🤣🤣
Cc Extrovert
ISO M.CodD
Unamkanda tu kidogoNaona leo kila mtu hapa hapendi ligi. Yaani unipite kwa mbwembwe mara uniwashie taa,unipigie honi aaah nitakuonesha kidogo nguvu ya GTi 🤣🤣🤣
Cc Extrovert
ISO M.CodD
Kaka umekandwa nini na x3 yako ile 😆😆😆Ligi za barabarani kati ya madereva nyingi zimesababisha majanga mengi kwa:
Madereva,
Abiria,
Waenda kwa miguu,
Magari,
Na uharibifu wa mali.
Kuna watu leo hii ni marehemu, wakiwa wameacha wajane na yatima kwa sababu ya hizi ligi. Kuna watu leo hii ni walemavu na wamegeuka tegemezi kwa asilimia mia kwa sababu ya hizi ligi. Hasara ni nyingi, na madhara ni mengi pia.
Lakini je, ulishawahi kujiuliza hao wanaokimbia sana barabarani wanakimbilia nini? Wanawahi nini? Wao sio polisi kwamba wanawahi eneo la tukio; sio fire kwamba wanawahi kuzima moto mahali; sio ambulance kwamba wanawahi kuokoa uhai mahali.
Katika maisha yao yote wamekimbia, lakini hawana walichotuzidi... labda ajali! Walikowahi hawakupata kikubwa zaidi... labda fumanizi!
Barabarani, nenda mwendo wako. Usiige, usifanye ligi za bure. Hazina mwamuzi, hazina kombe.
Unayefanya naye ligi:
Hujui uzima wa gari yake,
Hujui uzima wa tairi zake,
Hujui umahiri wake kwenye usukani na pedeli,
Hujui changamoto zake kwenye maisha.
Sasa unashindana naye ili iweje?
Maisha yako ni muhimu zaidi ya ligi zisizo na faida. Una wapendwa wanakusubiri nyumbani. Wafikirie hao kwanza kabla hujaamua kukoleza mwendo ili kuonesha ushujaa usio na pongezi.
Jioni njema, Tanganyika!
Mkuu, hakuna chuma yoyote inayoaminika. Ukichunguza katika hizo ajali 1700 utakuta hizo chuma zote unazoziamini nazo zimo ndani. Chuma ni chuma tuu!😂😂😂 Kama chuma YAKO unaiamini hakuna noma kabisa