USIIGE: Kila Mtu ana mwendo wake barabarani na sababu zake

πŸ™‹β€β™‚οΈβœοΈπŸ“πŸŽ―πŸ’―%πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ’πŸŽπŸ—ΌπŸŽ–οΈπŸ†πŸ‘‘πŸ›‘οΈ
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi nina maneno yangu nikiwa nadrive kwamba kila mtu ana safari yake,hata nikiwa nafanya jogging hvyohvyo akitokea jogger mwenzangu na mimbio yake namuacha aende zake wala simfuatishi,imenisaidia sana mentality hiyo
 
Asante ndugu yangu kwa ukumbusho murua hakika vijana wana la kujifunza.......

Nilipewaga lift na bwana mdogo mmoja nilikuwa naenda mazikoni huko upareni......ilikuwa ni hizi Prado Tx......

Kati kati ya safari akaja kupitwa na jamaa mwenye Mark X.....mzozo ukaanzia hapo..... ilikuwa mshike mshike....mtu mzima nimeshikilia roho....

Dua zangu ilikuwa tufike salama Korogwe tu niamuachie gari yake maana vurugu ilianzia Kabuku kuitafuta Segera.........

Nikashukia Korogwe nikawaacha na ligi yao.....

Lakini nilikuwa najisemea moyoni kuwa huyu bwana mdogo hana siku nyingi za kuishi....
 
Lakini nilikuwa najisemea moyoni kuwa huyu bwana mdogo hana siku nyingi za kuishi....πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
 
Wengine hatuhitaji ligi kwenda kasi kubwa. Imo tu katika damu.

Ila ushauri wa kupunguza kuendesha kwa kasi kubwa kiujumla una mantiki kubwa.
 
Ligi ka ligi kuuu baraaa
Yaaanii ka wewe ni dereva endesha ukitambua wewe ndo mwenye akili awo wengine ni hawaelewi chochote
Barabara Kuna maeneo yanatambulika kwa kafaraaa
Get prepared
Sala/ibada muda wote
Hii akili ingelikuwa na madreva woteingelipunguza kiasi kikubwa cha ajari barabarani
 
Kuna bodaboda alinipita mwendo Sana kumbe anaenda sherry.

Ahsante mshana jr Kwa ushauri mzuri
Naongezea, ukiwa barabarani tembea mwendo wako usiende sawa na wanyuma yako AU mbele yako mana kama unawai hospital kuna anae wahi kufumania kuna anaewai Mahakamani kifupi huwezi kumridhisha Toyote barabarani
 
Hii ni kweli kabisa,
Ni mashindano ambayo hayana pongezi zaidi ya kuiridhisha nafasi ya mkimbiaji wakati hakuna hata anayekufahamu.
 
Mimi nina maneno yangu nikiwa nadrive kwamba kila mtu ana safari yake,hata nikiwa nafanya jogging hvyohvyo akitokea jogger mwenzangu na mimbio yake namuacha aende zake wala simfuatishi,imenisaidia sana mentality hiyo
 
majuzi tu hapa nimeipeleka familia Mkuranga usiku wakati wa kurudi daah mimi nipo makini ila dereva mwenzangu akataka kusababisha majanga, too bad, andiko zuri sana kaka yangu Mshana!
 
Mkuu mshana huwa naelewa sana mabandiko yako hapa jukwaani, juzi kati tumepoteza bodaboda wawili wamegongana uso kwa uso wote wameaga dunia chanzo ni mwendokasi kama kawaida, watanzania tatizo ni kupuuzia mambo sana ndio mana ajali kila siku hazikomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…