- Thread starter
- #21
Ona hizi videos zingine.H
Hii ni movie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona hizi videos zingine.H
Hii ni movie?
Hapaswi kumisi kama mke au mume, ni lazima ajaribu kutengeneza picha mpya na mwenza wake wa ndoa.Sasa hivi inatakiwa watu tukubaliane na hali tu,kua na mke au mume mwaminifu kwako kwa asilimia mia,ni ngumu sana,maana mke anakua mwaminifu,mume anakua mzinzi au vice versa.
Jambo lingine ni max,huwezi kukuta mtu anaishi kama kisiwa,lazima ukute ana maingiliano na wenza wengine,hivyo kumuachanisha,asahau kilakitu,haiwezekani,atamisi tu.
Tamaa, binadam anaeshindwa kuzitawala na kuzishinda tamaa zake hana tofauti na kuku.Kabisa kaka , imagine unapata UKIMWI kupitia mwenza wako wa ndoa yaani.
Na muda mwingine unakuta huna hata kosa linalompa sababu ya yeye kutoka nje.
Sawa mdangaji mwenzanguEndelea na maisha ya udangaji.
Sawa.Sikubaliani na hili kwa mtazamo wangu. Kuwa na mke mmoja tu kwangu imekaa poa.
Kama una kili kwamba hayo mambo yamewahi kufanyika huko nyuma, mbona lawama zinatolewa Kwa sisi Waume wa Kisasa🙌Ni kweli ila tunashukuru Teknolojia kutupa awareness.
So tu uaminifu, kama unajijua huna commitment au huyo mtu humpendi. Ita kuokoa na itamuokoa muhusukia na matukio yatakayokuja mebeleniNdoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote.
Inasiktiisha na kuhuzunisha mwanaume kulea watoto wasio wake na pia Inasiktiisha mwanamke/ mwanaume kuletewa magonjwa yasiyotibika kwasababu mwenza wake hakuwa mwaminifu.
Kama unajijua huwezi kujizuia , usioe wala kuolewa, we danga tu.
Nimemaliza.
View attachment 3115283
Hakuna namna, Yule anayempenda, naye anampenda mwingine ( cycle ya namna hii kupata unayependana nayee ni ngumu sana kwenye maisha). So wengi wanatimiza wajibu tu...Hao ndo wanaokosea. Hawajitambui.
Upendo usipokuwepo, hata malezi ya watoto yatakuwa mabovu.