Usiingie kwenye ndoa kama huwezi kuwa mwaminifu

Hapaswi kumisi kama mke au mume, ni lazima ajaribu kutengeneza picha mpya na mwenza wake wa ndoa.
Mfano kwa wanawake wasio bikra, huyo aliyekupa vibe hakukuoa, alikutumia na kukutupa. Anatokea mwanaume aliyekubali kubeba aibu yako, akatoa mahari na akakuoa, kwanini umsaliti mtu kama huyo? Si bora umwambie mapema?
 
Kabisa kaka , imagine unapata UKIMWI kupitia mwenza wako wa ndoa yaani.
Na muda mwingine unakuta huna hata kosa linalompa sababu ya yeye kutoka nje.
Tamaa, binadam anaeshindwa kuzitawala na kuzishinda tamaa zake hana tofauti na kuku.
 
Ni kweli ila tunashukuru Teknolojia kutupa awareness.
Kama una kili kwamba hayo mambo yamewahi kufanyika huko nyuma, mbona lawama zinatolewa Kwa sisi Waume wa Kisasa🙌
 
So tu uaminifu, kama unajijua huna commitment au huyo mtu humpendi. Ita kuokoa na itamuokoa muhusukia na matukio yatakayokuja mebeleni
 
Hao ndo wanaokosea. Hawajitambui.
Upendo usipokuwepo, hata malezi ya watoto yatakuwa mabovu.
Hakuna namna, Yule anayempenda, naye anampenda mwingine ( cycle ya namna hii kupata unayependana nayee ni ngumu sana kwenye maisha). So wengi wanatimiza wajibu tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…