[emoji849] aaaaaah kumbe nilifikiri hadi MMU tunatakiwa tutumie akili na ujuzi[emoji848]labda MMU na chitchat,
afya, biashara, ujenzi, ajira unatakiwa uchangie kwa uzoefu au ujuzi tu
na uelezee vizuri taarifa mbaya zinaweza pelekea matatizo
inategemea[emoji849] aaaaaah kumbe nilifikiri hadi MMU tunatakiwa tutumie akili na ujuzi[emoji848]
Wazugaji tu hakuna watendwa wala.inategemea
kule sana sana ni kutoa pole kwa watendwa🤣
Yan upoteane kisa litoto la mtu , nitashauri vibaya kama wa kupotea ni wakupotea tu , asilimia 99 kwenye mapenzi wala hawafuati ushauri ,wanafuata nguvu ya upwiru , upwiru ukishaisha ndio anakuja Lia lia humu.ChitChat ndio jukwaa pekee la kujitoa ufahamu. MMU inashikilia Ustawi wa watu, kule ukishauri watu vibaya watapoteana.
MMU sasa ndo inaongoza Ku mislead watu.ChitChat ndio jukwaa pekee la kujitoa ufahamu. MMU inashikilia Ustawi wa watu, kule ukishauri watu vibaya watapoteana.
🤣🤣🤣🤣Ebu nipe break mkuu, maana mwa J anachamba zaidi ya left hand mbwa yule...🙄