Usijadili wala kuchangia mada usiyoieleweka au iliyokuzidi uwezo.

Usijadili wala kuchangia mada usiyoieleweka au iliyokuzidi uwezo.

ChitChat ndio jukwaa pekee la kujitoa ufahamu. MMU inashikilia Ustawi wa watu, kule ukishauri watu vibaya watapoteana.
Yan upoteane kisa litoto la mtu , nitashauri vibaya kama wa kupotea ni wakupotea tu , asilimia 99 kwenye mapenzi wala hawafuati ushauri ,wanafuata nguvu ya upwiru , upwiru ukishaisha ndio anakuja Lia lia humu.
 
Back
Top Bottom