Usije kujaribu kujizuia kufika kileleni unapofanya mapenzi

Sema elimu nyingine mna okotaga wapi au kwa maprofesa feki wa muhimbili kuzuia kufika kileleni kuna madhara mengi zaidi ya hayo uliyo sema ....moja wapo ni kupoteza nguvu za kiume.
 
... wazungu hawazuiwi dakika za mwishomwisho, ila huzuiwa kwa kupunguza 'concentration' KABLA!
😅
 
Sema elimu nyingine mna okotaga wapi au kwa maprofesa feki wa muhimbili kuzuia kufika kileleni kuna madhara mengi zaidi ya hayo uliyo sema ....moja wapo ni kupoteza nguvu za kiume.
🙄
 
moderator kwanini mme edit uzi wangu nyinyi ndo mlikuwa wahusika mliokuwa mnafanya hiyo tafiti...??
 
Mkuu unanafya akiliii tatizoo

Hakuna starehee napenda kama mwanamke aniambie zuia shahawa zisije yaaan najitoa ufahamu kama niko ofisini natukanwa na boss's banzai upyaaa

Ingawa wanasailooojia wanasema zinapunguza nguvu za kupata watoto lakn m imekuwa michezo yangu baadaya kumalizana na watoto nkaanza hiikitu yaan shemeji yakkoo anaulizaga nimekula nn namwambia kahawa na kaliimao ba mdalasini
 
shauli yako ipo siku haina jina utaipa jina!
 
Mkuuu KUKOJOA MAPEMA N JANGA LA KITAIFA KWENYE NDOA NDIO MAANA JIFUBZE KUBANQ KUKOJOA KWA MAXHENCHEDE ILI UKIFIKA ZIWANI UNAOGEKEA UNAVYOTAKA NDOA IMUDU
 
Mwana sayansi 😁😁😁😁
 
Uĺitaka aa dllt??
wauache kama nilivyokuwa nimeandika sasa wame edit haukuwa hivi na sijatukana mtu! wangefanya wao hiyo tafiti kama wanaona ni tafiti uchwara!
 
Mkuuu KUKOJOA MAPEMA N JANGA LA KITAIFA KWENYE NDOA NDIO MAANA JIFUBZE KUBANQ KUKOJOA KWA MAXHENCHEDE ILI UKIFIKA ZIWANI UNAOGEKEA UNAVYOTAKA NDOA IMUDU
mimi sina shida yakukojoa mapema ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…