Usije ukajidanganya mchepuko ni bora kuliko mkewe. Thamani ya mke ni kubwa kuliko wewe

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Wanaume wengi huoa Mwanamke anayempenda kwelikweli. Yàani ukiona Mwanaume amekuoa ujue huyo Mwanamke anampenda Sana.

Kwa Mwanaume unaweza kugusa kîla kitu kwèñye Maisha yake, ukamuibia Pesa, sijui ukamtapeli mashamba au Ardhi akaumia na Wakati mwingine anaweza asichukue hatua, lakini kumchukua Mkewe hakika ataumia kuliko kitu chochote. Na siô ajabu anaweza kufanya Jambo la hatari.

Sisi wanaume tunajuana vilivyo. Ndio maana mwanaume hata awe IGP, Rais, au Kiongozi Mkubwa au awe tajiri anapomfuata mwanamke lazima apeleleze huyo mwanamke ni mke wa mtu au vipi. Hiyo ni kwa sababu ya usalama wake. Wanaume tunajua kuwa mke wa mtu ni sumu kali sana.

Mwanaume hata kama hana pesa au kapuku tunaweza mfanyia dharau zote tuwezavyo lakini kamwe hatuwezi kumletea dharau mwanaume huyo mbele ya Mkewe.

Wanaume tukishajua mwanamke hajaolewa hatuogopi chochote, tunajua hapo ni free zone ukanda huru wa kimataifa àmbao mtu yeyote anaweza kupita na asiletewe noma.

Tunapoenda kutongoza Mwanamke tukajua hajaolewa, hana mume ila ni mchepuko tuu wa mtu fulani, hiyo tuna- label kama Free zone aka ukanda huru na wanaume wôte tunajua kabisa hata tukikutana kuwa huo ni ukanda Huru.

Remmy Ongala akaimba, huyo siô wako wala Mimi siô wàngu, Chuki ya nini Kati yàngu Mimi na wéwe. Nasema sina Makosa"

Yeah Wanaume wanapokutana wanajadiliana hivyo kuwa Hatuna Haja ya kuchukiana Kwa sababu Sheria zetu Wanaume za kimataifa zinaeleza kuwa Free zone NI ruhusa Kwa Mwanaume yeyote kupitisha Ndege, Magari, meli au chombo chake chochote.

Pia soma: Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

Wanaume wanaposikia Mwanaume mwenzao ati anagombana na Mwanaume Mwingine kisa na Mkasa NI mchepuko au Free zone Wanaume tunaweza kumshughulikia huyo Mwanaume anayevunja makubaliano ya kimataifa ya Sisi wanaume lakini ukishikwa na Mke wa Mtu Hakuna Mwanaume yeyote atakayekuunga Mkono tena ukicheza wanaweza kukufanyia Kitu kibaya.

Mwanamke ASIJE akakudanganya Mtu wala usije ukajidanganya kuwa mchepuko wa Mtu NI Sawa na kuwa Mke wa Mtu. Kujiweka Mchepuko ni kuutangazia jumuiya ya kimataifa ya Wanaume kuwa wewe ni Free zone. Kwa Bahati nzuri Wanaume huwaga tunaambiana Kabisa.

Mchepuko hutumika Kwa matumizi maalumu ya Dharura na Mtu atakuwa tayari kugharamia Kulingana na uwezo wake lakini siô Kwa mkataba wa kudumu.

Katika ujenzi wa Barabara kuu lazima ichongwe Rough road au services road ya Muda àmbayo itatumika mpaka Barabara kuu itakapokamilika. Rough road au services road ndîo huwa Michepuko. Barabara kuu inapoharibika, inahitaji matengenezo. Hivyo Rough road inatumiwa Kutengenezea Barabara kuu. Ikishafaa rough road inaachwa.

Barabara kuu ni Mke anayependwa ndàni ya Nyumba. Mke na Mume wanapogombana au inatokea wakaleteana shida Mwanaume hutafuta rough road kwaajili ya kuvuta Muda WA matengenezo Kwa Mkewe. Wakishaweka mambo Yao Sawa mambo yanarudi kama Zamani. Hapo ñdipo Mchepuko anaona kama anaonewa lakini alichoshindwa kujua tangu mwanzo yeye ni rough road, hakujua Nafasi Yake.

Kûna Watu wanauliza kama angekuwa anampenda Mkewe asingetafuta mchepuko. Nishaeleza Hilo kuwa kuna mazîngira ndàni ya Ndoa hupelekea Mwanaume akatumia Sheria za kimataifa Kutumia freezone Kwa Muda au Rough road ili kujenga Barabara kuu.

Huwezi kwenda Kwa mkandarasi umwambie mbona kaiacha njia kuu na anatumia Rough road, kwamba haipendi njia kuu Wakati unaona kabisa kuwa anatumia Rough road kujenga njia kuu.

Rough road itapewa mahitaji ya kawaidà tena ikibidi ya ziada Kwa sababu NI Kwa Muda mfupi tuu. Lakini Barabara kuu Kwa vile mpàngo NI wakudumi yàani lifetime itajengwa Kwa gharama kûbwa, materials Bora na yamuda mrefu.

Rough road hujengwa Kwa materials yasiyobora Kwa sababu matumizi Yake ni Muda mchache. Kununuliwa nguo, mawigi, sijui saluni, chàkula Hilo siô shida Kwa wakandarasi.

Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
 
Mchepuko no bora, wife anathaman, hatujabisha.
 
Back
Top Bottom