Usije ukalogwa wanamaombi wakajua jambo lako

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani.

Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara.

Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.
 
Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani. Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara. Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.
Pole Sana mtaalam.hayo ni Mambo ya dunia.
 
Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani. Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara. Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.
Yamekukuta? Pole sana. Lakini Kama mapepo yametoa siri zako hadharani kwanini uanze kulalamika.

Kama unajali privacy yako, usiende huko. Mwombe mchungaji akufuate nyumbani kukutoa hayo mapepo.
 
Sasa ndio usaidiane na mapepo mtumishi ? Kua na kifua basi umepewa kipawa cha kuombea sio cha umbea au na wewe ni pepo?
 
Ila Mkuu kwa jinsi tusredi twako tulivyokaa kimbea ningekushauri kitu.

Mkuu acha usnichiiiiii.🤭🤭🤣🤣

Mtu anaumwa mapepo wewe unaenda kumtangaza jamani. Sio sawa kabisa.
 
Hahahaaa wanakutangaza mtaa mzima na kukutolea mfano, izo habari zinafika mapaka Moshi
 
Wakati mwingine mapepo hayo husema uongo. Wenyewe huona wamefanikiwa.
 
Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani. Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara. Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.
Sasa na wewe hakikisha mapepo hayafanyi kijiwe kwenye kichwa chako.
 
Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani. Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara. Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.
Kwanza kwanini usali KKKT?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani. Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara. Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.
[emoji3][emoji3][emoji3]

Pole sana mwamba.
 
Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani. Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara. Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.
Usipandishage mapepo hadharani
 
Wanaojiita wanamaombi hawajui hata wanamwomba nani.

Ila pole, kanisani siyo mahali salama tena.

Vile umesema ngoja wampelekee Matsai ajue kundi lake lilivyo.

Ndo maana serikali inawaweka watu wake hapo mzena ukianza kuzidiwa na nusu kaputi ukaropoka wanayajua wao .
 
Kwa kweli wanaoamini mambo ya mapepo na hivyo kuamini hayo maombi ya kutoana mapepo - pole zao sana!
 
Hahahaha wanamaombi hawanaga Siri anakuombea muda huu ukipota anakutumia kama mfano kwa mwingine
Hii ipo pote, makanisa yote na wachungaj wote, alaf wanajionaga wajanja Sana kuwatolea watu mifano lakni ni ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom