Usije ukalogwa wanamaombi wakajua jambo lako

Usije ukalogwa wanamaombi wakajua jambo lako

Wanaojiita wanamaombi hawajui hata wanamwomba nani.

Ila pole, kanisani siyo mahali salama tena.

Vile umesema ngoja wampelekee Matsai ajue kundi lake lilivyo.

Ndo maana serikali inawaweka watu wake hapo mzena ukianza kuzidiwa na nusu kaputi ukaropoka wanayajua wao .
Tuna mfikishieni ajie kwa kweli , baadhi yao nilisikia kawafukuza akawarudisha kwanza waanza kumsema yeye vibaya halafu wanahamia kwa waumini yaani wale wanakusema unahisi kila mtu anajua mambo yako kiasi kwamba unatembea unaona kila mtu anakung'ong'a .... aaah I CANT THEM KWA KWELI
 
Kuna jambo nisilolipenda unakuta mtu anaombewa uku wanamchukua picha au video binafsi hii tabia siipendi
 
Kuna siku nilienda kwenye maombi niliongea na mchungaji private akasema siri zangu kwenye ibada nikakasirika nikasema siji tena bora nibaki kwa baba Paroko
 
Nenda kasali urudi nyumbani kwako,
huo muda wa kuwasimulia waumini habari za maisha yako unapata wapi?
 
Back
Top Bottom