Usije ukanunua kitu kupatana utaliwa

Usije ukanunua kitu kupatana utaliwa

Emmanuel TM

Member
Joined
Sep 25, 2017
Posts
67
Reaction score
88
Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k

Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
 
Tueleze ulivyotapeliwa...! Weka A to Z..
 
Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k

Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
Mkuu tatizo sio kupatana,tatizo ni wewe na anayekuuzia.Hilo lipo kila mahali ata JF.Mimi nina ndugu yangu mjeda aliwahi uziwa gari na mtu huku JF miaka kadhaa na mtu mmoja kati ya hawa. Nitwataja
 
Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k

Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
Na hii inaitwa JUMIA ikoje mkuu naisikiaga wanaiongelea sana.
 
Shida ni wewe, sio kupatana, ukiwa fala utatapeliwa kokote
 
Sio kweli nimenunua iphone ya bei ghali kupatana na wala sijatapeliwa

Tatizo litakuwa ni wewe na ushamba wako
 
Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k

Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
Siwezi kubisha usemacho . nimeuza gari kupatana na ninauza nyumba hapohapo kupatana.
 
Na hii inaitwa JUMIA ikoje mkuu naisikiaga wanaiongelea sana.
Nzuri sana bidhaaa mpya bei sawa na bure na mali ya uhakika kwa dar mzigo wa thamani ya laki mbili unaletewa hadi home
wako poa sana Jumia nawapenda natumia sana jumia na kupatana
 
Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
 
Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k

Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
Emmanuel TM Kaka karibu sana dar
naombva utupe namna ilivyokuwa hadi ukatapeliwa

Pia kumbuka yakuwa matapeli wapo kila sehemu na kila kona, pia Kupatana haina matapeli maana inakukutanisha mnunuaji na muuzaji
ukiwa umekwisha ridhika na bidhaa biashara inakamilika, so next time kuwa makini utakja kutana na wale wanaotapisha nywele utaishia kusema dar kuna matapeli😀😀😀😀
 
Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
Kakaka umetoa sadaka haujatapeliwa
Kupatana inakubidi ulipe mali ukisha iona jumia ndio wanafanya hivyo lakini sio kupatana
pole sana
nimecheka hadi dereva kaweka gari pembeni😀😀😀😀😀
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
Wew jamaa huna akili kabsa nasema tena huna akili na unapenda slope tena siku nyingne unaweza kuf*rwa kabsa, yani macbook air kwa laki2 na ishirini unaakili kweli bidhaa yenyew dukani hadi mil3 huko tena used kabsa ni 900k na inategemea wew kwa 220k hata hp kubwa hupat hivo wacha wakutapeli tu tena usilalamike humu
 
Back
Top Bottom