Usije ukanunua kitu kupatana utaliwa

Usije ukanunua kitu kupatana utaliwa

jumia wana ofisi au ndio ofisi mtandaoni?
Wana ofisi, kwa dar zipo pale city mall na kkoo...
Wapo poa sana, niliwahi agiza bidhaa kabla ya kuilipia nikaenda kuikagua nilipoona ipo sawa nikalipia, but mara baada ya kuanza kuitumia nikagundua ina shida nikawasiliana nao nikairudisha, then baada ya siku kama mbili nikapigiwa kuwa nifuate bidhaa yangu, nikapewa nyingine...
Kiujumla niliridhika na huduma zao, na naendelea kuwatumia...
 
Pole sana karibu mjini

Mimi nimenunua vitu kibao kupatana
Inashangaza sana Mtu anavyolaumu platform, ni sawa na utapeliwe kwa n_ia ya simu uanze kulaumu mtandao husika.

Kupatana ipo k_wakutanisha tu, mengine akili kichwani.
 
Una akili za kijinga sana aizeee
Kwahyo unawablame kupatana instead ya akili yako??
Kupatana is just a platform hawahusiki na mauzo yyte
Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
 
Hahahaa dah huyu jamaa fala sana
Ila comment yako imeniua sana
Wew jamaa huna akili kabsa nasema tena huna akili na unapenda slope tena siku nyingne unaweza kuf*rwa kabsa, yani macbook air kwa laki2 na ishirini unaakili kweli bidhaa yenyew dukani hadi mil3 huko tena used kabsa ni 900k na inategemea wew kwa 220k hata hp kubwa hupat hivo wacha wakutapeli tu tena usilalamike humu
 
Hujui unachokiongea mkuu
Nani alikwambia Jumia wana biadhaa???
jumia ni kiunganishi tu cha mteja na muuzaji. Ila tofauti na kupata wao wanapokea bidhaa na wanaiwasilisha kwa mteja. Kisha wanapokea malipo na kugawana pesa na muuzaji
 
Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k

Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
duh pole sn mkuu na asante kwa taarifa.....

ulinunua nini huko?
 
Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
macbook air 300k?.....

ana haki ya kukuibia..... wala hajafanya kosa!

kwanza unaifahamu macbook air yenyewe? au ulidhani ni makerpen[emoji15]
 
Unaibiwaje we jamaa, nimenunua gari mbili kupitia kupatana, nimeuza ipad kupitia huku x2, KUPATANA wameandika kabisa usilipe kabla,
 
Nani alikwambia Jumia wana biadhaa???
jumia ni kiunganishi tu cha mteja na muuzaji. Ila tofauti na kupata wao wanapokea bidhaa na wanaiwasilisha kwa mteja. Kisha wanapokea malipo na kugawana pesa na muuzaji
Sio kweli usemacho, kupatana hawana bidhaa pia.
 
Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k

Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
Washamba tu ndo mnaotapeliwa... nilishaendesha maisha yangu kupitia kupatana, huwezi niambia kitu nikakuelewa...

Washamba mtaendelea kuliwa vichwa tu...
 
Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
uyo Jamaa a awapiga wengi sana mpaka Leo tu,sijui hamfuatiliagi wengine waliotapeliwa malalamiko yao,?tangu .wala juzi uyo
 
Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
Dah... we jamaa ni fala... nisamehe bure kwa kukuita fala.... nimeshauza na kununua simu na laptop zaidi ya mia in total ila sijawahi fanya uzuzu kama ulioufanya ww huu...
 
Mie simu,tv,kitanda changu vyoye nmetoa kupatana au umeshuka na gari ubungo jana nini mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jokes pole
 
Nzuri sana bidhaaa mpya bei sawa na bure na mali ya uhakika kwa dar mzigo wa thamani ya laki mbili unaletewa hadi home
wako poa sana Jumia nawapenda natumia sana jumia na kupatana
Naona mnatangaza soko kijanja huku mkiua la wenzenu
 
MKuu hapana sifanyi matangazo mimi nimemueleza kuwa natumia Kupatana na Jumia Pia
Fuatilia comment zangu mkuu utanielewa natumia kupatana na jumia pia yote iko poa na ni mizuri sana
 
Ni kama kupatana ila jumia bidhaa ni za kwao wao na wanakupa muda wa kukaa na bidhaa usiporidhika nayo unarudisha.
.
Kupatana ni kama uber hawana gari hata moja.
Jumia pia ni madalali kama alibaba au aliexpress tu, hawana bidhaa.
Tofauti ya Jumia na kupatana ni kua Kupatana utawasiliana na Mteja moja kwa moja bila kuwashirikisha Wao, pengine wao wanakula kwenye bando yako huko mbeleni.

Jumia wao muuzaji na mnunuzi mnawasiliana thru platform yao, wao hula commission kutoka kwa muuzaji. Hivyo basi ni rahis kutapeliwa kupatana zaid kuliko jumia.

Utapeli ulioko Jumia ni "Quality". Lakini bidhaa inakua iko kweli. Yaani picha ikiwekwa utaona bidhaa ni nzuri sana, ila ukikutana nayo face to face ni tofauti. Nishaagiza Suruali zikaja very low quality na Muuzaji akagoma kubadili.

Ila kupatana unakuta bidhaa haiko kabisa. Mtu anauza TV bei rahisi tu ila anakuambia utume advance atume mzigo, ukijichanfanya tu umeliwa. Ukimwambia akuelekeze liliko duka uende ukachukue mwenyewe unakula "block"
 
Ofcoz yes...
Jumia pia ni madalali kama alibaba au aliexpress tu, hawana bidhaa.
Tofauti ya Jumia na kupatana ni kua Kupatana utawasiliana na Mteja moja kwa moja bila kuwashirikisha Wao, pengine wao wanakula kwenye bando yako huko mbeleni.

Jumia wao muuzaji na mnunuzi mnawasiliana thru platform yao, wao hula commission kutoka kwa muuzaji. Hivyo basi ni rahis kutapeliwa kupatana zaid kuliko jumia.

Utapeli ulioko Jumia ni "Quality". Lakini bidhaa inakua iko kweli. Yaani picha ikiwekwa utaona bidhaa ni nzuri sana, ila ukikutana nayo face to face ni tofauti. Nishaagiza Suruali zikaja very low quality na Muuzaji akagoma kubadili.

Ila kupatana unakuta bidhaa haiko kabisa. Mtu anauza TV bei rahisi tu ila anakuambia utume advance atume mzigo, ukijichanfanya tu umeliwa. Ukimwambia akuelekeze liliko duka uende ukachukue mwenyewe unakula "block"
 
Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k

Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
Kuibiwa na kutapeliwa kupatana ni ujinga na uzembe wako

wenzio daily tunanunua bidhaa huko ziko poa na hatutapeliwi
 
Back
Top Bottom