Usije ukanunua kitu kupatana utaliwa

Usije ukanunua kitu kupatana utaliwa

Mimi nimenunua Kiwanja KUPATANA tena kwa bei nzuri kabisa.
 
tatizo ninyi vijana huwa mnajipeleka kichwakichwa soma kanuni na taratibu, uliza na wakubwa zako ndo ununue watu kupatana ni sehemu mnakutana kufanya biashara si kutapeliana, kwaiyo tusinunue kwakuwa wewe umetapeliwa?
 
Back
Top Bottom