Emmanuel TM
Member
- Sep 25, 2017
- 67
- 88
Tueleze ulivyotapeliwa...! Weka A to Z..Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k
Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
Mkuu tatizo sio kupatana,tatizo ni wewe na anayekuuzia.Hilo lipo kila mahali ata JF.Mimi nina ndugu yangu mjeda aliwahi uziwa gari na mtu huku JF miaka kadhaa na mtu mmoja kati ya hawa. NitwatajaHii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k
Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
Na hii inaitwa JUMIA ikoje mkuu naisikiaga wanaiongelea sana.Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k
Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k
Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
Ni kama kupatana ila jumia bidhaa ni za kwao wao na wanakupa muda wa kukaa na bidhaa usiporidhika nayo unarudisha.Na hii inaitwa JUMIA ikoje mkuu naisikiaga wanaiongelea sana.
Siwezi kubisha usemacho . nimeuza gari kupatana na ninauza nyumba hapohapo kupatana.Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k
Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
Nzuri sana bidhaaa mpya bei sawa na bure na mali ya uhakika kwa dar mzigo wa thamani ya laki mbili unaletewa hadi homeNa hii inaitwa JUMIA ikoje mkuu naisikiaga wanaiongelea sana.
Emmanuel TM Kaka karibu sana darHii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k
Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
Kakaka umetoa sadaka haujatapeliwaHii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
Kakaka umetoa sadaka haujatapeliwa
Kupatana inakubidi ulipe mali ukisha iona jumia ndio wanafanya hivyo lakini sio kupatana
pole sana
nimecheka hadi dereva kaweka gari pembeniπππππ
Wew jamaa huna akili kabsa nasema tena huna akili na unapenda slope tena siku nyingne unaweza kuf*rwa kabsa, yani macbook air kwa laki2 na ishirini unaakili kweli bidhaa yenyew dukani hadi mil3 huko tena used kabsa ni 900k na inategemea wew kwa 220k hata hp kubwa hupat hivo wacha wakutapeli tu tena usilalamike humuHii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje